Afu kuna jambo moja nawish nikushirikishe ili unisaidie hata kwa ushauri maana unaonekana unaubongo mkubwa sana brother.... Kama hautojali lakiniOgle wako uuze zaidi.... Tutakutana polisi post.... Ila ndio hivyo bei ya dola moja na Lita ya patrol havipishani sana..... Pengine mwakani tutafanya vice versa yani bei ya pombe iwe ndio ya wese na dola.,..
Kaka bila shaka ushatupia tatu,nne maana sio kwa michapio hiyo.Ogle wako uuze zaidi.... Tutakutana polisi post.... Ila ndio hivyo bei ya dola moja na Lita ya patrol havipishani sana..... Pengine mwakani tutafanya vice versa yani bei ya pombe iwe ndio ya wese na dola.,..
Hapoo kwa cham diwani naogopa makaburi napita mnaraniDah tangulia nakuja... Unisubiri kona ya makaburini
Hahahaha yani kifupi ukija nyumbani magazeti yamejaa kama kuna mangiHii picha ina miaka mitatu!!! Hilo gazeti liliandika habari za udanganyifu hazina kitambo saana
[emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji23] [emoji23] [emoji23] mkwe!utaanza kazi saa ngapi?Watoe na sheria yao ya kuanza kunywa bia kuanzia saa kumi
Naanza saa moja kama kawa ila nikiwa likizo ninywe kwa uhuru.[emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji23] [emoji23] [emoji23] mkwe!utaanza kazi saa ngapi?