Huree kuanzia kesho bia buku....

Huree kuanzia kesho bia buku....

Nadhani umefika wakati muafaka wa kufikiria upya uamuz wangu wa kuacha pombe
Hata kwa bei hii?
1200px-1000_tz_shillings_front.jpg
 
Ogle wako uuze zaidi.... Tutakutana polisi post.... Ila ndio hivyo bei ya dola moja na Lita ya patrol havipishani sana..... Pengine mwakani tutafanya vice versa yani bei ya pombe iwe ndio ya wese na dola.,..
Afu kuna jambo moja nawish nikushirikishe ili unisaidie hata kwa ushauri maana unaonekana unaubongo mkubwa sana brother.... Kama hautojali lakini
 
Ogle wako uuze zaidi.... Tutakutana polisi post.... Ila ndio hivyo bei ya dola moja na Lita ya patrol havipishani sana..... Pengine mwakani tutafanya vice versa yani bei ya pombe iwe ndio ya wese na dola.,..
Kaka bila shaka ushatupia tatu,nne maana sio kwa michapio hiyo.
 
Back
Top Bottom