theriogenology
JF-Expert Member
- Oct 7, 2016
- 8,748
- 15,681
HutumiiiWalevi ktk ubora wenuu
Nabii mshana nawewe unagonga mvinyo vipi huoni kama ni dhambi?[emoji23] [emoji23] [emoji23] View attachment 823669
[emoji1][emoji1][emoji847][emoji847][emoji847]
Hata kwa dawaHutumiii
Looh!jamaniNaanza saa moja kama kawa ila nikiwa likizo ninywe kwa uhuru.
Wanabadilisha?? HureeeeeyPia inaanza kesho
Ni wanywaji tu hao....Walevi ktk ubora wenuu
[emoji19] [emoji19] [emoji19] [emoji19]Pia inaanza kesho
Kaaah[emoji57] [emoji57] [emoji57]Wanabadilisha?? Hureeeeey
Mi pombe kali ndo zangu, bia hata iwe jero siipendi harufu yake afu nakojoakojoa sana ni usumbufu, ila kitu cha Valeur pale superior brandy kaglass ka kwanza ka pili, mambo freesh malizia na kamchemsho weeTunaokunywa pombe za gharama kazi tunayoView attachment 823671
Ahahaa weita pelekea pale mbili, afu hapa niongezee mbilinawaonea uruma kweli wasikuonjwa pombe maana kama nawaona mnavyotuonea donge na gere 12 yako tu nazungusha vya kutosha[emoji23][emoji23][emoji23]
Kwa hiyo unakunywa nini.....Hata kwa dawa
hakika hii ni serikali ya pombe[emoji23] [emoji23]Ahahaa weita pelekea pale mbili, afu hapa niongezee mbili
Weekend ijayo au?Anajishaua sijui kwa kua ana muwowowoww.....!!![emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]..
Nimeupokea my dear kwa nguvu zote!nambie sasa