Tresor Mandala
JF-Expert Member
- Aug 20, 2010
- 40,905
- 86,203
Wameamua muwe walevi muondoe stress ili wafanye yao ,shabikieni tu ndivyo wanavyotaka ,..maskini MPE pombe asahau shida zake
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
[emoji23] [emoji23] hmmm..[emoji23] [emoji23] hapana miye sinywii tu
Hakikaa[emoji23] [emoji23] hmmm..
20000Hii ni pombe ya gharama?
Ili pombe iwe ya gharama inatakiwa ianze kuuzwa kuanzia bei gani?
No toiletMi pombe kali ndo zangu, bia hata iwe jero siipendi harufu yake afu nakojoakojoa sana ni usumbufu, ila kitu cha Valeur pale superior brandy kaglass ka kwanza ka pili, mambo freesh malizia na kamchemsho wee
No mambo ya kuamka toilet, ni kusip tartiiibu, wanywa bia wanywe tu kreti zote, maini yangu yanapenda kitu spiritNo toilet
TBL na SBL zote,,, kubwa ni buku jero na zile za buku jero ni buku!!!!Hiyo promotion ni tanzania nzima? Je ni SBL au TBL? Je ni kubwa au ndogo?
Hahahhaa wewe jamaa utakuwa mtu wa kutoka mbeya au arusha ,,,kule hakuna mambo ya biaMi pombe kali ndo zangu, bia hata iwe jero siipendi harufu yake afu nakojoakojoa sana ni usumbufu, ila kitu cha Valeur pale superior brandy kaglass ka kwanza ka pili, mambo freesh malizia na kamchemsho wee
Naunga mkono juhidi za raisi.TBL na SBL zote,,, kubwa ni buku jero na zile za buku jero ni buku!!!!
Ni mazoea tu mkuu, bia inachelewa kutoka kichwani kuliko spirit, whiskey au brandy ndo nshazoea, hata nikinywa bia labda mbili kupotezea mdaHahahhaa wewe jamaa utakuwa mtu wa kutoka mbeya au arusha ,,,kule hakuna mambo ya bia
Hahahha kweli kabsa,,Naunga mkono juhidi za raisi.
Spirit ndio yenyewe, ukiamka upo fresh kabisa. Maji ya kutosha mambo yanakaa sawa.Ni mazoea tu mkuu, bia inachelewa kutoka kichwani kuliko spirit, whiskey au brandy ndo nshazoea, hata nikinywa bia labda mbili kupotezea mda
Bia kuna muda znaboa hasa kile kpnd cha kwenda kwenda toileti,, pia ukinywa kadhaa tu tumbo linajaaNi mazoea tu mkuu, bia inachelewa kutoka kichwani kuliko spirit, whiskey au brandy ndo nshazoea, hata nikinywa bia labda mbili kupotezea mda
Hawajamaliza stokeNilikua naelekea bar,ila nimeghairi ngoja nisubirie hiyo kesho
Ila hishima ya bia inapotea yaani inapishana na gongo kwa tsh 300 tu [emoji850][emoji850]Hahahha kweli kabsa,,
Unaanzaje kuacha pombe Nani atanunua bombadiaNadhani umefika wakati muafaka wa kufikiria upya uamuz wangu wa kuacha pombe