usser
JF-Expert Member
- Sep 25, 2015
- 13,956
- 14,032
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]Msiitie DOA siku yangu ya kuzaliwa
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]Msiitie DOA siku yangu ya kuzaliwa
[emoji86] [emoji86] [emoji86] [emoji86]20000
Hakuna kitu cha bia kipo palepale,,, kuna watu hata umpe bia lkn anakumbia hzo gongo ndo anazielewa sanaIla hishima ya bia inapotea yaani inapishana na gongo kwa tsh 300 tu [emoji850][emoji850]
Na cc wa kutoa lock asubuh tutanyimwaWatoe na sheria yao ya kuanza kunywa bia kuanzia saa kumi
Kama hawajamaliza lazma wafanye promotionHawajamaliza stoke
Hahahha unataka uanze saa ngapiWatoe na sheria yao ya kuanza kunywa bia kuanzia saa kumi
Ntawapelekea madogo create Zima nyumbanNASKIA soda 300/TSH
Kila mtu na kichwa chakeHakuna kitu cha bia kipo palepale,,, kuna watu hata umpe bia lkn anakumbia hzo gongo ndo anazielewa sana
Kweli aiseeKila mtu na kichwa chake
Kuna wadau bia hazipandi na kuna wengine spirit hazipandi. Alafu kuna yale magari ya pombe kila aina anakunywa bila tabu.Kweli aisee
utawaumiza bureNtawapelekea madogo create Zima nyumban
Wanakunywa week nzimautawaumiza bure
Mkuu hakuna beer inayoshuka bei, recomended price za TBL ni kama unavyoziona.Kwahiyo ukiwa na 20000, unapata kreti?
Kudadeki
Tangazo official limeshatoka mkuu?TBL na SBL zote,,, kubwa ni buku jero na zile za buku jero ni buku!!!!
Mtatuua jamani!....tunasomesha mjue!TBL na SBL zote,,, kubwa ni buku jero na zile za buku jero ni buku!!!!
Hizi taarifa nmepewa na mdau wa TBL alikuwa sehemu anafanya research ya bia zao ndio akatuambia wadauTangazo official limeshatoka mkuu?
Hahahhaha hapo ndio safi mkuu,, ukiwa na buku ten unakunywa unabakisha na ya bodabodaMtatuua jamani!....tunasomesha mjue!
Tatizo castle laga shingo nene baridi zikianza kupanda kichwani halafu unahela ya kutosha mfukoni, kutoa ofa si shida!Hahahhaha hapo ndio safi mkuu,, ukiwa na buku ten unakunywa unabakisha na ya bodaboda
Thnxs mkuu,yajayo kwny sekta ya pombe yanafurahisha sana.Hizi taarifa nmepewa na mdau wa TBL alikuwa sehemu anafanya research ya bia zao ndio akatuambia wadau