Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
unaumwa ww wachaga lini wakamuunga mkono jpm???
Nyinyi watu mnavyopendaga sifa sifa sifa. Utafikiri kwingine watu hawasafiri, as if barabara zingine mabasi yamesima. Na mbona mie nimetoka huko jana nimekuja nao kibao huku dar, ama dar nako kuna moshi siku hizi?Kweli wachagga nouma, vyuma havijakaza
Safari Kwenda Kilimanjaro iko pale pale, Ndafu na Mbege tele Machame, Kibosho, Marangu na Rombo
Heri ya Christmas Watanzania!
Wachagga wanamuunga Mkono JPM
Wachagga wanamuunga Mkono JPM
Wivu unakuua utakua umefukuzwa kazi ya u house girlNyinyi watu mnavyopendaga sifa sifa sifa. Utafikiri kwingine watu hawasafiri, as if barabara zingine mabasi yamesima. Na mbona mie nimetoka huko jana nimekuja nao kibao huku dar, ama dar nako kuna moshi siku hizi?
Wachaga tunawatesa sana jamani ila vumilieni tu maana sisi tukiwa busy tunasaka pesa mjini nyie mpo busy kupaka poda na kutafuta mademMmekodi magari ya show off mkila mizinga hamrudi mjini