Huree wachagga...Vyuma lainii Moshi Christmas

Huree wachagga...Vyuma lainii Moshi Christmas

Weka Kapicha mkuu
3016edb1e91a0b8549bc7668cf10805e.jpg

9dfae22ffff691aecdf9290dd678b509.jpg
 
Kweli wachagga nouma, vyuma havijakaza

Safari Kwenda Kilimanjaro iko pale pale, Ndafu na Mbege tele Machame, Kibosho, Marangu na Rombo

Heri ya Christmas Watanzania!

Wachagga wanamuunga Mkono JPM
Nyinyi watu mnavyopendaga sifa sifa sifa. Utafikiri kwingine watu hawasafiri, as if barabara zingine mabasi yamesima. Na mbona mie nimetoka huko jana nimekuja nao kibao huku dar, ama dar nako kuna moshi siku hizi?
 
Mmekodi magari ya show off mkila mizinga hamrudi mjini
 
Wachaga wanachapa kazi. Wanapochapa kazi nyie mtacheza bao na kuwatoa watoto mkoleni. Mwezi WA kumi na mbili wanapokwenda kusalimia familia zao kwa hela zao walizojiwekea mwaka mzima Kwa kuchapa kazi nyie wacheza bao na msio na marengo Mnaanza Kashfa. Jifunzeni kwa wachaga wenzetu wanathamini Kwao wamejenga kwao wanapenda kwao Sio makabila mengine mnafika dar hamkumbuki kwenu kwakua tu hamjajenga Wala kufanya maendeleo yyt hivyo mnaona aibu kwenda kwenu. Lkn wachaga wanaona fahari kubwa Sana kwenda kwako maana wamewekeza. Makabila mengine ni vyema kujifunza toka kwa wachaga na Sio kuwakashifu. Kwenda nyumbani ni fahari Sana.
 
Back
Top Bottom