Huruma foleni ya mafuta London, tazama video hii ujionee.

Huruma foleni ya mafuta London, tazama video hii ujionee.

Joined
Jun 4, 2022
Posts
68
Reaction score
184
Licha ya baadhi ya Mataifa ya Afrika kukumbwa na changamoto ya Mafuta ya Nishati hususani Petroli, Diesel na Mafuta ya taa, hali imegeuka kuwa tete katikati ya Jiji la London kama inavyoonekana katika Video hii.
a
 
Tofauti yetu na wao wenzentu wana pesa mifukoni lakini dunia ya kusadikika tumepigika.

Hao wana public transport za uhakika wakiamuwa wanapaki magari wanapanda train, mabasi na wengine baiskeli na electronic scooter.

Sijui hapa hoja yako ni nini?
 
Ma train nayo yana strike ya muda ni mwendo mvurugano
 
Wanaendekeza interest za kipuuzi za waamerika kwa ku-prolong vita ya Ukraine wanadhani ni raha. Ngoja wapigike mpaka waisome namba.
 
Mwenye Enzi Mungu ni mkubwa sana walahi [emoji56]
Na bado mpaka walambe mchanga walahi
Wamwambie mwamba Putin poo[emoji91][emoji91][emoji91][emoji91]
 
Tofauti yetu na wao wenzentu wana pesa mifukoni lakini dunia ya kusadikika tumepigika.

Hao wana public transport za uhakika wakiamuwa wanapaki magari wanapanda train, mabasi na wengine baiskeli na electronic scooter.

Sijui hapa hoja yako ni nini?
Hoja yake petrol iuzwe elfu 5 kwa Lita hapa nchini!!! Ili wazidi kutajirika kwa kisingizio Hiki. Hivi wafanyabiashara wetu wananunua mafuta kutoka wapi?
 
Back
Top Bottom