Taifa Digital Forum
Member
- Jun 4, 2022
- 68
- 184
Ma train nayo yana strike ya muda ni mwendo mvuruganoTofauti yetu na wao wenzentu wana pesa mifukoni lakini dunia ya kusadikika tumepigika.
Hao wana public transport za uhakika wakiamuwa wanapaki magari wanapanda train, mabasi na wengine baiskeli na electronic scooter.
Sijui hapa hoja yako ni nini?
Putin amebana kende zaoLicha ya baadhi ya Mataifa ya Afrika kukumbwa na changamoto ya Mafuta ya Nishati hususani Petroli, Diesel na Mafuta ya taa, hali imegeuka kuwa tete katikati ya Jiji la London kama inavyoonekana katika Video hii.
aView attachment 2316614
Wewe unawajuwa Leptilia au unafuata mkumbo?Putin amebana kende zao
Motivational speakers mmeshaanza Mambo yenu.Wewe unawajuwa Leptilia au unafuata mkumbo?
Waulize Oligarchy of London.
Wanaendekeza interest za kipuuzi za waamerika kwa ku-prolong vita ya Ukraine wanadhani ni raha. Ngoja wapigike mpaka waisome namba.
Sasa unawalilia ili iweje? Acha waipateWenzako wanapenda uhuru na wako tayari kuupigania siyo kama wewe.
Sasa unawalilia ili iweje? Acha waipate
Ma train nayo yana strike ya muda ni mwendo mvurugano
Hoja yake petrol iuzwe elfu 5 kwa Lita hapa nchini!!! Ili wazidi kutajirika kwa kisingizio Hiki. Hivi wafanyabiashara wetu wananunua mafuta kutoka wapi?Tofauti yetu na wao wenzentu wana pesa mifukoni lakini dunia ya kusadikika tumepigika.
Hao wana public transport za uhakika wakiamuwa wanapaki magari wanapanda train, mabasi na wengine baiskeli na electronic scooter.
Sijui hapa hoja yako ni nini?