A
Makosa ndo yanawafanya wawe bora zaidi siku za usoni, tuendelee kuwapa nafasi madaktari wetu bingwa 😂
Tuendelee kuumwa
Ufanyike mpango wa lazima maana kuna wahudumu wapo vizuri zaidi ila wanagomea kutoka katika hospitality za mikoa kwakukwepa kuja wilayani njia pekee serikali itenge bajeti nzuri ya kuweza kuwashawishi hawa wauguzi na madoctor waweke kambi zaidi katika hospital za wilaya ili kuwanoa ata hawa wanaoanza kaziMimi ni mkazi wa ROMBO MKUU naomba kuelezea kero ya hospitali ya HURUMA. Hospitali hii imekuwa ikiajiri wanafunzi waliohitimu masomo ya vyuoni ambao hawana experience ya kutosha katika kufanya kazi za wodini.
Kitu ambacho kimekuwa kikisababisha vifo vya Mara kwa Mara kutokea katika Hospitali hii. Hospitali hii ina ma Clinical Officers wanafunzi ambao hawana uwezo mzuri wa kumuhudumia mgonjwa vizuri. Inapenda kuwaajiri watu kama hawa kwa sababu ni rahisi kuwarubuni na sh 100k mpaka 200k. ( Mshahara wa chini).
Vilevile haina wafanyakazi wa kutosha unakuta Leba nesi yupo mmoja kwenye shifti nzima kitendo ambacho kinamlazimu kufanya majukumu mengi kwa wakati mmoja.
Pendekezo langu kwa Hospitali hii kuajiri watu wenye viwango na pia kuajiri wahudumu wa afya wengi wenye ubora katika fani ya afya ilikupunguza vifo ambavyo vimekuwa vikitokea mara na kutuliza wana ROMBO kila siku
Sasa watapataje uzoefu ili wawe bora zaidi?Ndio wafanye try and error kwenye mwili wa mtu unafikiri ni panya wa majaribio???