Huruma kwa wala rushwa ndiyo tatizo namba moja!

Huruma kwa wala rushwa ndiyo tatizo namba moja!

Kamundu

Platinum Member
Joined
Nov 22, 2006
Posts
7,823
Reaction score
10,857
Naona sasa hili tatizo la kuwaonea huruma wala rushwa hata serikali imeanza kuliona

1. Badala kuwafukuza viongozi wanaofuja wamekuwa wakihamishwa
2. Rushwa kama hizi za Polisi barabarani kuonekana sio rushwa!
3. Kesi kuchukuwa muda mrefu bila sababu za msingi
4. Madaktari na manesi kushinda kucha kuiba mali za hospitalini kutoka MSD limekuwa jambo la kawaida.

Sasa hao wanaozuia rushwa wanafanya kazi gani. Nendeni hospitalini leo kila siku madaktari wanaharibu vifaa mkusudi!

Tatizo ni utamaduni wa kuoneana huruma na kudekeza wala rushwa
 
Back
Top Bottom