HakikaSio huruma kwa mtoto tu
Kiufupi hutakiwi kuwa na huruma kabisa maana kuwa na huruma ni ungese huu..
Kama universal haina huruma we nani..
Na kwanini utake kuonewa huruma huo ndo mwanzo wa upinde hasa kwa mtoto wa kiume kutaka kuonewa huruma.
Dunia haina huruma kabisa mkuu halafu Bin Adam anataka aoneww huruma.Sio huruma kwa mtoto tu
Kiufupi hutakiwi kuwa na huruma kabisa maana kuwa na huruma ni ungese huu..
Kama universal haina huruma we nani..
Na kwanini utake kuonewa huruma huo ndo mwanzo wa upinde hasa kwa mtoto wa kiume kutaka kuonewa huruma.
Wee ulivyo onewa huruma na Dorry, ulikua Upinde au? LolSio huruma kwa mtoto tu
Kiufupi hutakiwi kuwa na huruma kabisa maana kuwa na huruma ni ungese huu..
Kama universal haina huruma we nani..
Na kwanini utake kuonewa huruma huo ndo mwanzo wa upinde hasa kwa mtoto wa kiume kutaka kuonewa huruma.
Tutapigana...!!!Wee ulivyo onewa huruma na Dorry, ulikua Upinde au? Lol
Dorry ajawah nionea hurumaWee ulivyo onewa huruma na Dorry, ulikua Upinde au? Lol
Uongooo!!Dorry ajawah nionea huruma
Ukweli unauma eeeh? PoleeeTutapigana...!!!
πππHahahaha
Na wewe pole..Ukweli unauma eeeh? Poleee
Kivipii? πππNa wewe pole..
Mi na wewe tupeane pole mkuu
exactly!Huruma Si Malezi
Kumpenda mtoto haimaanishi kumuachia kila kitu au kumuogopa akilia. Kuna wazazi huamini kuwa kila kosa la mtoto litapita likisahaulika kwa kumbembeleza, kumkingia kifua au kumtetea mbele ya watu. Lakini ukweli mchungu ni huu: mapenzi yasiyo na mipaka hayajengi, yanaharibu.
Mtoto anayelelewa kwa huruma kupita kiasi hukua bila kuelewa thamani ya nidhamu. Hukosa hofu ya kufanya makosa, huona kila kitu ni sawa maadamu mzazi yuko upande wake. Anapokosea haoni kosa, anaona haki. Hapo ndio msingi wa tabia unapoanza kuvunjika.
Malezi bora yanahitaji upendo wenye misingi, si huruma inayolemaza. Mapenzi ya kweli humwelekeza mtoto, humfundisha tofauti ya sahihi na kosa, na humwonyesha kuwa maisha yana mipaka. Si kila kitu anachokitaka ni lazima akipate. Sio kila kosa ni la kupuuzwa kwa sababu βni mtoto β.
Penda kwa akili. Lea kwa msimamo. Maana kama hutamjenga leo kwa nidhamu, kesho dunia itamvunja kwa maumivu.
Huruma si malezi. Na mapenzi yasiyo na tija, ni sumu ya polepole.
Abuuabdillah βοΈ
#HurumaSiMalezi
#MapenziYenyeMipaka
#MzaziBebaMajukumu
#MahusianoSeason