Husband is needed

Husband is needed

Eti tukio la uokoaji. 🤣🤣🤣🤣 ila kweli hapo wanaume wamepiga na kupiga afu ujibebee tu 29 kwa masharti lukuki. Ila wanawake wanaona wanaume wanaumwa kwa matazamio yao

Yani hapo ilifaa aweke kigezo kimoja tu Cha Awe Financial stable vingne vyote havina maana
 
Hebu mkuu anza hapa kwanza, ili tuelewane!
.....a man that can handle a family (1). Meaning financially stable.(2)
Mwanaume ambaye ni mtulivu wa nafsi, (3) asiye na hasira na ugomvi.(4) Umri 30-39.(5)
Awe mkristo RC itapendeza zaidi. (6)Asiwe mbabe(7). Ambaye ataniheshimu pia. Uwe unaishi Dar es salaam(9). Usiwe sharobaro wala Brother men(10). Usiwe wa mjini sana na Wala usiwe muongeaji sana. (11) Because siwezi watu waongeaji. Uwe mpole.(12) Because Mimi ni mtu calm. Uwe umesoma angalau. (13) Usiwe bonge please uzito wako uwe around 70's. Or 60's.(14)

Mwalimu wangu Depal Nihitimishe hiyo full packge inayotafutwa hata kwenye karakana ya uumbaji haipo kwenye order.. Mashauriane Vizuri. mtamtafuta Muumba ubaya tu
😂😂 unanishinda tabia..
 
Back
Top Bottom