Husband Material Anatafutwa

Husband Material Anatafutwa

Joined
Nov 19, 2012
Posts
19
Reaction score
18
[h=2]Mimi ni mwanamke,hard working,independent,loving,caring.Nimeajiriwa.Dini yangu Mkristo.Situmii pombe wala sivuti sigara.Elimu yangu ni ya Chuo kikuu.Umri wangu ni Miaka 30.Pia nina mtoto mmoja.Sijawahi kuolewa.Makazi kwa sasa ni DSM.
[/h]Mchumba ANAYETAFUTWA:
Awe Mkristo,mwanaume anayejishughulisha,awe ameajiriwa au amejiajili mwenyewe kwa shughuli zozote zilizo halali.
Sibagui kabila.Elimu angalau ya chuo.Umri miaka kuanzia 35 hadi 45.Awe serious no time wasters please.Pia awe single,sihitaji uke wenza.

Kwa mwanaume yeyote mwenye wasifu huo aliyetayari na aliye serious tuwasiliane kwa Pm only
.
 
Nakutakia kilala heri, na Mungu atakujibu sawasawa na hitaji lako mrembo!
 
Hili na mashaka nalo, kila mtu anae tafuta mtu, akiweka sifa yake .. Utasikia na degree, Nina kazi nzuri anajimbia misifaa. Real love aina izo mbwembwe zenu! Taja jinsia, na mawasiliano yako basi mengine mtaambiana hukohuko mtakapo kukutana, msifanye mapenzi Kama biashara.
 
Mi nadhani yuko sahihi maana mtu kama mimi nikiangaliza tu kwamba ni msomi sihangaiki kumtafuta
 
Ebu elezea muonekano wako kidogo tupate picha,mnene? Mwembamba? Triple D or Z? Mweusi/maji ya kunde/mweupe? Chotara/mmatumbi? Tall/andunje? Mp¤d¤d¤/mahaga/yalimo yamo?
 
Unatafuta kudanganywa tu, naomba ughairi mawazo yako kabla hujaanza kutulalamikia kuwa UMETENDWA.
Mume mwema hatafutwi kwa kutumia GOOGLE
Mimi ni mwanamke,hard working,independent,loving,caring.Nimeajiriwa.Dini yangu Mkristo.Situmii pombe wala sivuti sigara.Elimu yangu ni ya Chuo kikuu.Umri wangu ni Miaka 30.Pia nina mtoto mmoja.Sijawahi kuolewa.Makazi kwa sasa ni DSM.

Mchumba ANAYETAFUTWA:
Awe Mkristo,mwanaume anayejishughulisha,awe ameajiriwa au amejiajili mwenyewe kwa shughuli zozote zilizo halali.
Sibagui kabila.Elimu angalau ya chuo.Umri miaka kuanzia 35 hadi 45.Awe serious no time wasters please.Pia awe single,sihitaji uke wenza.

Kwa mwanaume yeyote mwenye wasifu huo aliyetayari na aliye serious tuwasiliane kwa Pm only
.
 
hili na mashaka nalo, kila mtu anae tafuta mtu, akiweka sifa yake .. Utasikia na degree, nina kazi nzuri anajimbia misifaa. Real love aina izo mbwembwe zenu! Taja jinsia, na mawasiliano yako basi mengine mtaambiana hukohuko mtakapo kukutana, msifanye mapenzi kama biashara.
wewe unashangaa digiriii wakati sisi wengine twaangalia mpaka g.pa! Chini ya 4.0 haiwezekani
 
Mimi ni mwanamke,hard working,independent,loving,caring.Nimeajiriwa.Dini yangu Mkristo.Situmii pombe wala sivuti sigara.Elimu yangu ni ya Chuo kikuu.Umri wangu ni Miaka 30.Pia nina mtoto mmoja.Sijawahi kuolewa.Makazi kwa sasa ni DSM.

Mchumba ANAYETAFUTWA:
Awe Mkristo,mwanaume anayejishughulisha,awe ameajiriwa au amejiajili mwenyewe kwa shughuli zozote zilizo halali.
Sibagui kabila.Elimu angalau ya chuo.Umri miaka kuanzia 35 hadi 45.Awe serious no time wasters please.Pia awe single,sihitaji uke wenza.

Kwa mwanaume yeyote mwenye wasifu huo aliyetayari na aliye serious tuwasiliane kwa Pm only
.

Mpendwa, unasema awe single mbona wewe una mtoto? Huyo aliyekupa mimba yuko wapi?
 
Sio rahisi kukusahau kwa ile issue Wiyelele! Ubishi wako ulikuwa unanitisha sana!

sasa nitakushangaza next year kwenye Mkutano Mkuu wa Injili wa Mwakaseghe nitakuwa napiga kinanda mbele pale nikimtaja Yesu kwa kunifungua minyororo! I want to change completely MwaJ !
 
Hili na mashaka nalo, kila mtu anae tafuta mtu, akiweka sifa yake .. Utasikia na degree, Nina kazi nzuri anajimbia misifaa. Real love aina izo mbwembwe zenu! Taja jinsia, na mawasiliano yako basi mengine mtaambiana hukohuko mtakapo kukutana, msifanye mapenzi Kama biashara.

Slow down...!!
 
Back
Top Bottom