Mume mwema kwako baby angel2012 anapatikana huko uliko dada angu,sidhani kama hapa JF ni sehemu muafaka kumpata mtu wa kukufaa,wa kuelewa nini una maanisha kwaajili yake na yako kwa maisha yaliyobakia.Jitahidi huko kazini,mtaani,na pahala popote unapofika,ktk mazungumzo yako na wao utamjua mwenye nia ya kweli na kama ukuidhani unaweza kumface fanya hivyo,lakini hapa watu wanajificha nyuma ya keyboard si rahisi kutaka kujixpose to that level.
Nakushauri urudi nyuma na ujitafakari kwa kina na hasa ukiangalia historia yako huko nyuma,at 30yrs si mchezo rafiki,umepita wapi na umekutana na kina nani walikuchukuliaje? Je,wewe unaionaje historia yako ktk mapenzi? Je,umejua nini kimesababisha ukawa ulipo ktk ulimwengu wa mahusiano? Ni kweli unaweza kufanikiwa lakini je,ktk mazingira kawaida huko mtaani labda hujaona na umeamua kujilipua hapa je unadhani hawa wanaopatikana hapa hawaishi unakoishi? Au umechukuliaje kuhusu wanaJF maana nijuavyo mimi hapa hakuna malaika bali ni walewale wa hapo mtaani kwako na ndiyo maana hata wewe umekuja kwa jina lisilo lako.
Nafahamu unayonia ya dhati na pengine umechoka kuendelea kukaa mwenyewe na hasa ukijiona kuwa ni mwanamke uliekamilika,unasifa karibu zote za wife material na unaona wanaume ni kama hawakuoni,hili huja by nature my dear wala usijiforce kufanikisha,ni kweli umri una kwenda lakini unashirikiana na Mungu wako kwa kiasi gani? Mshirikishe Mwenyezi Mungu nae atakusaidia kukupa mtu sahihi kwa maisha yako na hautajutia kuwa nae.Ila vinginevyo ni kutafuta majuto tu!
Uwe na wakati mzuri na Mwenyezi Mungu akusimamie utimize haja ya moyo wako.

Last edited by a moderator: