Husband Material Anatafutwa

Husband Material Anatafutwa

Mume mwema kwako baby angel2012 anapatikana huko uliko dada angu,sidhani kama hapa JF ni sehemu muafaka kumpata mtu wa kukufaa,wa kuelewa nini una maanisha kwaajili yake na yako kwa maisha yaliyobakia.Jitahidi huko kazini,mtaani,na pahala popote unapofika,ktk mazungumzo yako na wao utamjua mwenye nia ya kweli na kama ukuidhani unaweza kumface fanya hivyo,lakini hapa watu wanajificha nyuma ya keyboard si rahisi kutaka kujixpose to that level.

Nakushauri urudi nyuma na ujitafakari kwa kina na hasa ukiangalia historia yako huko nyuma,at 30yrs si mchezo rafiki,umepita wapi na umekutana na kina nani walikuchukuliaje? Je,wewe unaionaje historia yako ktk mapenzi? Je,umejua nini kimesababisha ukawa ulipo ktk ulimwengu wa mahusiano? Ni kweli unaweza kufanikiwa lakini je,ktk mazingira kawaida huko mtaani labda hujaona na umeamua kujilipua hapa je unadhani hawa wanaopatikana hapa hawaishi unakoishi? Au umechukuliaje kuhusu wanaJF maana nijuavyo mimi hapa hakuna malaika bali ni walewale wa hapo mtaani kwako na ndiyo maana hata wewe umekuja kwa jina lisilo lako.

Nafahamu unayonia ya dhati na pengine umechoka kuendelea kukaa mwenyewe na hasa ukijiona kuwa ni mwanamke uliekamilika,unasifa karibu zote za wife material na unaona wanaume ni kama hawakuoni,hili huja by nature my dear wala usijiforce kufanikisha,ni kweli umri una kwenda lakini unashirikiana na Mungu wako kwa kiasi gani? Mshirikishe Mwenyezi Mungu nae atakusaidia kukupa mtu sahihi kwa maisha yako na hautajutia kuwa nae.Ila vinginevyo ni kutafuta majuto tu!
Uwe na wakati mzuri na Mwenyezi Mungu akusimamie utimize haja ya moyo wako.
 
Last edited by a moderator:
hello wana jf;
asanteni sana kwa comments zenu.nilikuwa introduced hapa na rafiki yangu.
Na akaniambia hapa kuna watu wenye mtizamo chanya na wanasaidiana sana.but this has proved wrong based on the hatred messages am receiving.najua kwa wanaume wengi mlioko upande huu,maana yake mnatafuta,otherwise msingekuwa huku.lakini kama mtu ametoa vigezo vyake na wewe huna,waachie wenzio,sio uaanze kukashifu na matusi.hii inaiangusha sana jf.kuzaa nini?maana yake ni kujali! Kuna wanawake wangapi wa umri wangu ambao wako single na pengine wamenizidi lakini wametoa mimba kibao?mimi sikutaka kutoa mimba ndo maana nikazaa and am not regreting that! My baby is the best thing ever has happened to me so for.valuable than anything i posses!

Au nyie mnao comment hapo mmetoa mimba ngapi?na pengine mmewakimbia wanawake mliowapa mimba.

Asanteni sana,tuko pamoja.

hivi wee dada mtazamo chanya kwako ni kila mtu akubaliane na upuuzi wowote unaouleta hapa jamvini?...

mtizamo kwa chanya kwa wana jf ni pamoja na watu kuelezea kwa uelewa wao jinsi wanavyoitazama mada yako..
Kwa mfano
1- wewe unataka mume asiyekuwa na mke ilihali wewe unamtoto..huyo mtoto umempata kwa uwezo wa roho mtakatifu? kama sio je baba wa mtoto yupo wapi?..

Nani mwenye akili timamu atapenda kuoa/kuolewa na mtu mwenye mtoto bila kujua status ya mzazi wa pili wa huyo mtoto...
Come on honey...hivi wewe kakako akikuambia anaoa mwanamke anamtoto mmoja alizaa na bwana mwingine utakubali bila kupata maelezo ya kina?

2- haya suala la umri wako nalo limekuwa questioned sanaaa...ujana wako ulikula na nani na wapi? Na kwanini unaamini kuna mwanaume at that age hajaoa...au hujui jamii inatarajia bint awe ameolewa from 23-27 yrs?..wewe unaishi na jamii gani..late comers wanaolewa at 29..late twenties...wewe wa early 30's hujioni kama umechelewa sana kwa mujibu wa social acceptable standards for women ages for marriage.

3- kwa wewe kuzaaa nje ya ndoa unaona kuwa ni kitendo cha ujasiri..ila kwa wanaume ni kipimo cha ulivyokwisha tumika such that usha-overhaul engine..kwa hiyo unakuwa hauna thamani kuliko demu aliyekwishatoa mimba...ameficha ushahidi kuwa mashine yake imetumika na imechoka haifai kwa dereva mpya tena kijana...wewe ni for old forks out there na kimsingi ukipata nafasi ya kuwa mke wa pili au hata nyumba ndogo usiiachee...mwanao atakuwa anamuita mmeo "uncle-ankaliii"

4- wewe ulivyokuja hapa umeleta bidhaa sokoni so ni wajibu wako kutoa details za kutosha ili kupata mteja atakayeridhika na bidhaa then unauza...acha ukali kisha uza bidhaa kwa kutoa detailed info za product yako.

Kila la kheri "seller" wishing you to get a real and serious "buyer"
 
Sasa si mtu anakuwa muwazi,kizazi hiki watu wamesoma kijana,hata mimi mwenyewe nina degree ya banking and finance kutoka ifm! Best of luck mdada utapata but take ur time when it comes to selection

Sent from my BlackBerry 9700 using JamiiForums
 
Hey usijali rafiki,hakuna mtu mwenye haki ya kukufanya uwe huna amani,hutafuti mamia watakao kuelewa bali mmoja tu,mara nyingi tumekuwa tunaumia kwa maendeleo ya wengine na huo ni upumbavu,they can never be u. Usijali naamani u'll get the right man,kayika changamoto ndio hapo baraka zilipo.

Sent from my BlackBerry 9700 using JamiiForums
 
market inadetermine vigezo.
Sasa kama unataka kudanganywa haya.

Hivi mbona wanaume weengi tu humu wametangaza kutafuta wachumba na kueleza wana mtoto au watoto na huwa hamsemi lolote?where does the difference lies?men are always selfish
 
hivi wee dada mtazamo chanya kwako ni kila mtu akubaliane na upuuzi wowote unaouleta hapa jamvini?...

mtizamo kwa chanya kwa wana jf ni pamoja na watu kuelezea kwa uelewa wao jinsi wanavyoitazama mada yako..
Kwa mfano
1- wewe unataka mume asiyekuwa na mke ilihali wewe unamtoto..huyo mtoto umempata kwa uwezo wa roho mtakatifu? kama sio je baba wa mtoto yupo wapi?..

Nani mwenye akili timamu atapenda kuoa/kuolewa na mtu mwenye mtoto bila kujua status ya mzazi wa pili wa huyo mtoto...
Come on honey...hivi wewe kakako akikuambia anaoa mwanamke anamtoto mmoja alizaa na bwana mwingine utakubali bila kupata maelezo ya kina?

2- haya suala la umri wako nalo limekuwa questioned sanaaa...ujana wako ulikula na nani na wapi? Na kwanini unaamini kuna mwanaume at that age hajaoa...au hujui jamii inatarajia bint awe ameolewa from 23-27 yrs?..wewe unaishi na jamii gani..late comers wanaolewa at 29..late twenties...wewe wa early 30's hujioni kama umechelewa sana kwa mujibu wa social acceptable standards for women ages for marriage.

3- kwa wewe kuzaaa nje ya ndoa unaona kuwa ni kitendo cha ujasiri..ila kwa wanaume ni kipimo cha ulivyokwisha tumika such that usha-overhaul engine..kwa hiyo unakuwa hauna thamani kuliko demu aliyekwishatoa mimba...ameficha ushahidi kuwa mashine yake imetumika na imechoka haifai kwa dereva mpya tena kijana...wewe ni for old forks out there na kimsingi ukipata nafasi ya kuwa mke wa pili au hata nyumba ndogo usiiachee...mwanao atakuwa anamuita mmeo "uncle-ankaliii"

4- wewe ulivyokuja hapa umeleta bidhaa sokoni so ni wajibu wako kutoa details za kutosha ili kupata mteja atakayeridhika na bidhaa then unauza...acha ukali kisha uza bidhaa kwa kutoa detailed info za product yako.

Kila la kheri "seller" wishing you to get a real and serious "buyer"

hahah,Jf ni zaidi ya burudani.
 
Mume mwema kwako baby angel2012 anapatikana huko uliko dada angu,sidhani kama hapa JF ni sehemu muafaka kumpata mtu wa kukufaa,wa kuelewa nini una maanisha kwaajili yake na yako kwa maisha yaliyobakia.Jitahidi huko kazini,mtaani,na pahala popote unapofika,ktk mazungumzo yako na wao utamjua mwenye nia ya kweli na kama ukuidhani unaweza kumface fanya hivyo,lakini hapa watu wanajificha nyuma ya keyboard si rahisi kutaka kujixpose to that level.

Nakushauri urudi nyuma na ujitafakari kwa kina na hasa ukiangalia historia yako huko nyuma,at 30yrs si mchezo rafiki,umepita wapi na umekutana na kina nani walikuchukuliaje? Je,wewe unaionaje historia yako ktk mapenzi? Je,umejua nini kimesababisha ukawa ulipo ktk ulimwengu wa mahusiano? Ni kweli unaweza kufanikiwa lakini je,ktk mazingira kawaida huko mtaani labda hujaona na umeamua kujilipua hapa je unadhani hawa wanaopatikana hapa hawaishi unakoishi? Au umechukuliaje kuhusu wanaJF maana nijuavyo mimi hapa hakuna malaika bali ni walewale wa hapo mtaani kwako na ndiyo maana hata wewe umekuja kwa jina lisilo lako.

Nafahamu unayonia ya dhati na pengine umechoka kuendelea kukaa mwenyewe na hasa ukijiona kuwa ni mwanamke uliekamilika,unasifa karibu zote za wife material na unaona wanaume ni kama hawakuoni,hili huja by nature my dear wala usijiforce kufanikisha,ni kweli umri una kwenda lakini unashirikiana na Mungu wako kwa kiasi gani? Mshirikishe Mwenyezi Mungu nae atakusaidia kukupa mtu sahihi kwa maisha yako na hautajutia kuwa nae.Ila vinginevyo ni kutafuta majuto tu!
Uwe na wakati mzuri na Mwenyezi Mungu akusimamie utimize haja ya moyo wako.

Mgaya acha kumkatisha tamaa Angel. Hivi unatambua kuwa kuna watu humu wamefahamiana humu Jf na wameoana na wako poa.

Angel anaweza pata anachohitaji humu anachotakiwa kufanya ni kuvumilia
 
Sijamkatisha tamaa ila ameonyesha ni kama vile kaja dukani kuchagua,kulipia na kuondoka nae kitu ambacho sio kweli.
Mimi namshauri amtangulize Mungu mbele kama kweli kiu yake ni kumpata mwenza wake wa maisha iwe JF ama popote pale.
 
hUYU DADA ANA HAKI ZA KUELEZEE FILLINGS ZAKE PLEASE, ASIBEZWE.
 
Baba kwa kuwa mwenzi mwema hutoka kwako,mpatie huyu dada mwenzi wake na umshindie kila hatua.Kwa jina la YESU- AMEN
 
Heloo JF people,hope mnasubiri kwa hamu ilojawa na hofu kuona dunia itakavyoteketea leo.Anyway MSIHOFU CUZ BADO MOJA.auntie upo serious kurudi kwenye serious relationship?kama ndo hivyo basi tutafutane.
 
halafu we mwenyewe si una mtoto tayari kwahiyo kama ninao pia hakijaharibika kitu au vp
 
Last edited by a moderator:
Baba wa huyo mtoto yuko wap? haiwezekan uwe na mtoto alafu useme hujawahi kuolewa...nyie ndo makahaba wa vyuon sisi tulipokuwa busy kutafuta gpa nyie mlikuwa busy kutafuta wanaume....

umetumia maneno makali sana hujamtendea haki
 
Mijitu ya humu inajifanya inajua sana utakuta mwanaume analea watoto wa nje kibao na hata halalamiki.
Na nyie wanawake mnaomponda mwenzenu mtakuta nyie wenyewe mna matatizo yenu na mmezaa watoto au kila siku mwatoa mimba.
Katika vitu ambavyo sikutegemea hapa ni kuona mnavyomshambulia mdada wa watu??
Kosa lake ni nini??kueleza ukweli?
 
Back
Top Bottom