Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nina
miaka 26 Nimeajiliwa serikalini dini christian natokea ngara kwa sasa
niko Dar nataka mume awe christian mtanashati na mwenye mapenzi ya kweli
Nimejikuta nacheka sana kwa response za hao jamaa wawili hapo juu.Vijana mna mambo sana.Kila la kheri
hw sure sisi ni vjana? hujalala afu upo uku unna dalili zote za uviziaji wewe.
Jana kuna 1 aliandka kama hivyo si nikampa # yangu kumbe siyo gal ni punga ananisumbua balaa ntamtaja mda wowote
Uandishi wako tu unatosha kukuweka kundi gani
haya mzee wa kujua miandiko tena onliine mi ni kijana, ila huku ni vijana na mahaba ukae ukijua.Uandishi wako tu unatosha kukuweka kundi gani
Nina
miaka 26 Nimeajiliwa serikalini dini christian natokea ngara kwa sasa
niko Dar nataka mume awe christian mtanashati na mwenye mapenzi ya kweli
Kwaiyo wewe ni toto la kihaya au kiangaza? pliz hebu tuwasiliane, najuwa utamu wa ukanda wa kule we ni PM,
unaweza kuta mimi ndo ulikuwa unaningojea siku zote.
Tabu yako hujui utamu wa wahaya wewe. aya mi nmekuachia wewe bwana.Hapa hakuna muoaji, dada stuka!!