Husband

Husband

Hivi kumbe mwanamke anaruhusiwa kumtafuta mwenyewe mchumba?na sio mwanaume amtafute mwenza anae mfaa...hembu tuliweke sawa hili jamani humu ndani....nawasilisha.
 
Nina hamu na wewe byna,,maana nimewahi kuishi Biharamulo ila kama hujampata mpaka sasa ni PM nikueleze jambo
 
Last edited by a moderator:
Nina
miaka 26 Nimeajiliwa serikalini dini christian natokea ngara kwa sasa
niko Dar nataka mume awe christian mtanashati na mwenye mapenzi ya kweli

ukishindwa kupata nipo nasubiri najua watakuja wengi sababu we mpya !!
 
Kumbe we shida yako ilikua umuonje utamu tu mkuu WAVISA??
Samahani bana, sikujua aisee.

jichoz na hamuz pawa ndio chanzo cha ndoa na yote, ungekuta ningemuonja zen mkuu shark mengine yangefata, we unataka nipata dhambi ya kuongopa kuwa nimuoe sjui, bila kuonja?
ila ukanda ule watamu sana jamaa yangu jaribu kama vp.
 
Nina
miaka 26 Nimeajiliwa serikalini dini christian natokea ngara kwa sasa
niko Dar nataka mume awe christian mtanashati na mwenye mapenzi ya kweli

Tuwekee na picha yako full ili tuona na kama wewe ni mtanashari?!!! Ha ha ha!!
 
Back
Top Bottom