Hushpuppi kabambikiwa kesi kwa sababu ya ushamba pamoja na Mwafrika kuchukiwa akiwa na maisha ya juu

Hushpuppi kabambikiwa kesi kwa sababu ya ushamba pamoja na Mwafrika kuchukiwa akiwa na maisha ya juu

warumi

R I P
Joined
May 6, 2013
Posts
16,218
Reaction score
18,440
Sasa wale ma slay queen itakuaje jamen ?, nawaonea huruma akina huddah, tontoh dikeh, bobrisky, vera sidika and the rest, wamekula sana ma millions ya huyu jamaa in Dubai . Ila tuseme tu ukweli wanaijeria wanajua ku hustle bhana, embu imagine wamefanikiwa kuiba more than $100 millions , their game is not cheap , hail to hushpuppi [emoji384][emoji383]
IMG_3870.jpg

IMG_3867.jpg

IMG_3869.jpg

IMG_3868.jpg

Scandal na Habari inayotambaa kwa kasi kwa sasa kwenye mitandao ya kijamii huko Nigeria, ni issue ya Billionare kutoka Nigeria, Hushpuppi pamoja na wenzie kukamatwa nchini Dubai kwenye apartment ya Pallazo Versace usiku wa kuamkia leo akiwa na wenzie kwa kesi ya money laundering na online scamming .

=========

Davido amemu-unfollow

=================

Habari hiyo imepelekea baadhi ya watu wake wa karibu kum-unfollow Billionaire huyo mwenye pesa chafu hili kuepuka kuunganishwa moja kwa moja na mtuhumiwa huyo kutokana na ukaribu na hushpuppi.

Moja ya watu wanaoshutumiwa kum-unfollow Billionaire huyo ni mwanamuziki Davido ambaye inasadakiwa ni mtu wake wa karibu sana na Billionaire huyo, hivyo kuzuia tetesi huenda staa huyo na yeye alikwua kwenye channel moja na Billionaire huyo.

Mmhm kama nawaona wanazengo wanavyotamani davido awe connected na hii scandal na yeye akamatwe, lol

IMG_3882.jpg

IMG_3870.jpg

==========

Huddah amtetea

==========

Socialite first class kutoka pande za +254 , huddah Monroe , who has been rumored to bed with the Hushpuppi Mara kibao akiwa nchini Dubai na kumwagiwa dirhams za kutosha, amewajia juu watu wanaomuandamana billionaire huyo baada ya kukamatwa na polisi ...

Mmmh shoga angu nae una nuski, corona haijaisha danga nalo limekamatwa, naona designers clothing this time zitapumzika, pole mwaya ndo maisha ...
IMG_3888.png
 
Weeeee mpwa ina maan hadi kigori mwenzangu Bob Risky kavoba hela za mjuba + kuhunumuka mkunyenge?, Mweeeeeeeeeh hatareee San lol
 
Mapunga humu yako mengi mzee
Hili punga kitambo aisee m nalifahamu tangu linajiunga humu..watu walilikosoa ila inaonekana siku za hivi karibuni wengi wameanza kuliona kama li manzi mana naona hata watu wakiwa wana reply comments zake kwenye uzi wa kula kimasihara wanahisi ni li manzi, kumbe hiyo ilikua inalikata kinoma limeona litukumbushe leo
 
Una shida saaan kwahiyo kumbe uko nyuma yangu kila nakopita? Haya njoo nkuoneshe na fors zingne nlizokuwepo, ili uzidi mun update, af na wee unajiona mwanaume kabisaaa? [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] khaaaaaah dunia simama nishuke, umbea na ufukunyuku unamzidi had shangazi yako, njoo nkusajiri wee msago na mchicha mwiba nyokooooooh.
 
Kweli nimeamini wewe ni Mchicha
 
https://jamii.app/JFUserGuide it kabisa.. mzungu hajawahi kumpenda muafrika, mimi nilijua tu this day will come, pesa zako unashindwa hata kutanua nazo sababu unaogopa utashikwa, ni lazima walikua wanawaangalia tu na kushikwa na hasira kwamba a black man ananunua magari kila wiki, ana pesa za kutisha, utajiri wa kutisha, na pia maadui wao hao jamaa unakuta pengine kuna waarabu humo na wazungu hawakua wanapenda show off za hao jamaa, nimechukizwa na hizi habari japo nilitegemea hii siku ingekuja, bora hata ukiwa na pesa zako unatanua kimya kimya tu
 
**** it kabisa.. mzungu hajawahi kumpenda muafrika, mimi nilijua tu this day will come, pesa zako unashindwa hata kutanua nazo sababu unaogopa utashikwa, ni lazima walikua wanawaangalia tu na kushikwa na hasira kwamba a black man ananunua magari kila wiki, ana pesa za kutisha, utajiri wa kutisha, na pia maadui wao hao jamaa unakuta pengine kuna waarabu humo na wazungu hawakua wanapenda show off za hao jamaa, nimechukizwa na hizi habari japo nilitegemea hii siku ingekuja, bora hata ukiwa na pesa zako unatanua kimya kimya tu
Wewe mpigaji, fedha umepata kiupigaji
Alafu unajionesha mtandaoni
Unategemea nini hapo

Ova
 
Yani mamilioni yote halafu unavaa marangirangi kama Elephant Man?

No wonder wanakamatwa.

Kuiba kunaweza kuwa si kugumu kama kuficha hela ya wizi.

Kuna kinyegenyege fulani hivi cha kujionesha unazo.

Kupost picha social media.

Na hapo ndipo wanapodakwa.

Ma Mafia wa kweli hata ukiwaona huwezi kujua, na wamepiga hela ndefu sana.
 
Kuiba sio kazi, kazi kuwatoka raia
 
Back
Top Bottom