Hushpuppi kabambikiwa kesi kwa sababu ya ushamba pamoja na Mwafrika kuchukiwa akiwa na maisha ya juu

Hushpuppi kabambikiwa kesi kwa sababu ya ushamba pamoja na Mwafrika kuchukiwa akiwa na maisha ya juu

Kuna Wanigeria wawili waliwatapeli ma drug dealers wa Mexico. Wale ma Don wakashtuka wamepigwa. Wakaitumia tamaa ya Wanigeria kuwanasa. Wakamwambia njooni Mexico City tupige deal kubwa zaidi, wakawatajia kidau kikubwa.
Mkuu wala usipoteze muda wako kuelezea sana. Kifupi tu the guy is STUPID.
Na wa naija wengi ni stupid inapokuja kwenye kutumia hela zao kujenga mijumba mikubwa kubwa, mikochi mikubwa kubwa, kuvaa na kutangaza designer products ambao hawana mkataba nao kwa hiyo hawawalipi chochote nk!

Anafanya cyber heist kadhaa, anakamatwa kiduanzy vile !!!
 
Mkuu wala usipoteze muda wako kuelezea sana. Kifupi tu the guy is STUPID.
Na wa naija wengi ni stupid inapokuja kwenye kutumia hela zao kujenga mijumba mikubwa kubwa, mikochi mikubwa kubwa, kuvaa na kutangaza designer products ambao hawana mkataba nao kwa hiyo hawawalipi chochote nk!

Anafanya cyber heist kadhaa, anakamatwa kiduanzy vile !!!
Mkuu, ku control ego ni kitu fulani si rahisi. Wengi wanaweza kushinda vita nyingi sana , za kupiga hela kubwa, kwa ma adventure ya ajabu, lakini vita ya kuishinda ego yao wenyewe, kujionesha kwamba wanazo kwa ulimwengu, ni vita ngumu sana.
 
Mkuu, ku control ego ni kitu fulani si rahisi. Wengi wanaweza kushinda vita nyingi sana , za kupiga hela kubwa, kwa ma adventure ya ajabu, lakini vita ya kuishinda ego yao wenyewe, kujionesha kwamba wanazo kwa ulimwengu, ni vita ngumu sana.
Sure
 
Kwa level yako sikutegemea uchangie ivi, kuna watu wanaongoza kutapeli kama Hao whites uko? Mana wewe sijui ukisema crime sijui unamaanisha nini mana hata mikataba tu ya nchi zetu na ukoloni vyote ivo ni crime, Ngombe wanazaliwa kila siku
Viongozi wenu ndio wanaingia mikataba ya kunufaisha matumbo yao,mikataba ya madini haijawahi kuwekwa wazi ni blahblah tu
 
Kutana na kijana HushhPuppi
hash1.png

Katika ukurasa wake wa Instagram, utakutana na picha ya huyu kijana mwenye ukwasu mkubwa akiwa kapiga picha na ndege binafsi, magari ya bei mbaya na kila aina ya anasa inayothibitisha kuwa ana ukwasu mkubwa na siyo pesa ndogo. Huyu alijizolea umaarufu kwa kuwa mmoja wa ma social media influencer. Anajulikana kama HushPuppi na alipenda kuweka picha za video na kila alicofanya. Lakini jambo ambalo hakulijua ni kwamba alikuwa akiacha alama za kidijitali (digital trail) ambazo walikuwa wakizitumia FBI kumfuatilia jambo ambalo lingekuja kusaidia katika kukamatwa na kuanguka kwake na kufumua ukweli juu ya utajiri wake.

Hushpuppi na genge lake wanatuhumiwa katika kutenda uharifu unaohusisha wizi na utakatishaji wa fedha katika mamilioni ya dollar. Inakadiliwa katika kipindi chote, Hushpuppi ametapeli na kutakatisha kiasi cha EAD 1.6 Billion ambazo ni sawa na Tilion moja za kitanzania. Wizi wa huyu jamaa ni wa kusangaza na matumizi yake yalikuwa yanastajaabisha sana.
hash3.jpg


Hushpuppi ni nani?

Jina lake halisi ni Ramon Abbas, maarufu sana kwenye mitandao ya kijamii na alikuwa akidai kwamba yeye ni tycoon katika biashara ya Real Estate. Amezaliwa na kukulia katika Nchi ya Nigeria.

Kwenye ukurasa wake wa Instagram ana mafollowers milioni mbili na nusu. Na ana umri wa miaka 37, huku akiwa na utajiri wa mamilion ya dollar. Kwa ukwasi huo, matumizi yake ni kiwango cha juu mara nyingi ataonekana na magari ya Kifahari kama Rolls Royce Phantom, Ferrari, Bentley, huku akiwa anaonekana akifanya manunuzi ya nguo na vito vya thamani kama Guccci, Versace, Chamel, n.k ambapo sati tu linaweza kuharimu million 2 na nusu za Kitanzania.

Siyo hivyo tu alikuwa akiishi eneo wanakoishi watu wenye ukwasi mkubwa huko Dubai kwenye hoteli ya Velazzo Versace. Pia alikuwa akionekana muda mwingine kuondoka nyumbani kwake kwa kutumia usafiri wa Helcopter kwenda matembezi au kufanya manunuzi.

Hakuna ubishi kuwa huyu kijana alikuwa akiishi maisha ya anasa sana. Wasanii wa Nigeria kama akina Davido, walikuwa wanafanya wawezalo kuwa karibu naye, achilia mbali mislay Queen mpaka wa Afrika Mashariki akina Hudah the Boss nao hawakuwa nyuma ili mradi kila mmoja apate kuonja harufu ya ukwasu wa huyu kijana.

Lakini jambo ambalo hakufahamu ni kwamba hizo show off zake, zilikuwa zinawapa FBI kila walicoitaji ili kupata Arest Warrant na kufungua mashitaka juu yake.

HushPuppi alikuwa ameiba mamilion ya dollar kutoka kwenye mabenki, wawekezaji, na Makampuni mbalimbali, kwa kuwadananya waatirika kuweka pesa kweenye akaunti zake maalumu amabzo alitumia kufanya manunuzi mbalimbali.

Kati ya ushahid walionao FBI baada ya kukamatwa kwake na kupitia Email yake, walikutana na email Zaidi ya 100,000 zinazotibitsha wizi huo. Huku kukiwa na Zaidi ya anuani milioni mbili za watu alikwisha watapeli.

Wizi wa HushPuppi ulikuwa wa kimataifa, kwani kaiba katika kila bara. Mfano alitapeli taasis moja ya Kisheria hhuko Newyork kiasi cha dollar 923,000 (Zaidi ya billion 2 za kitanzania). Taasisi hii ilipokea maelekezo waidaniy yametoka kwa mteja wao yakiwaelekeza kutuma kiasi hicho cha fedha katika akaunti maalum. Hiyo pesa ililengwa iende kwenye akaunti maalum inayohusika kulipia mradi wa ujenzi wa mteja wao lakini HushPuppi akapita nazo kwa speed ya 5G.

Siyo hivyo tu, HushPuppi alipiga pesa kutoka katika Taasisi ya uwekazaji ya kimataifa kiasi cha dollar million 14.7 (Zaidi ya billion 30 35 za kitanzania). Aliwalaghai na kuwaelekeza watume pesa kwenye akaunti ya benki iliyoko katika nchi ya Romania. Ushahidi pia unaonyesha kuwa alikuwa akiwalaghai watu na kuwafanya waweke pesa kwenye akaunti maalum iliyoko Marekani pia.

Pia alijaribu kuiba kiasi cha dollar million 124 (Zaidi ya bilioni 300 za kitanzania) kutoka kwa Klabu moja kubwa ya Soka huko Uingereza. Lakini baati nzuri wizi wake haukufanikiwa.
hash 4.jpg


JINSI ALIVYOKAMATWA NA FBI

Muda wote HushPuppi hakuwa anajua kwamba show off zake zitamponza. Hakujua kuwa anayofanya mtandaoni kwa kupost picha anaacha digital trail ambayo itampeleka chini na kumtosa baharini. Kuna siku alipost posts ambazo zilikuwa zimepitiliza na kutoa taarifa Zaidi kuhusu yeye.

Ilikuwa ni siku yake ya kuzaliwa, na kama kawaida alipost

“Nimeanza siku yangu kwa kula Sushi hapa Nobu, Monte Carlo, Monaco. Ila nimeamua kukodi helicopter ili nikafanyiwe facial (kusafishwa ngozi ya uso) Christian Dior spa katika jiji la Paris. Halafu nimemaliza siku yangu kwa kunywa Champaigne katika Gucci”


Hakuishia hapo, aliendelea kupost akiwa na maari ya kifahari yamepanana huku zikiambatana na hashtag #ALLMINE

Lakini jambo ambalo akujua ni kwamba, alikuwa kasignup kwa kutumia email na namba ya simu yake kwenye Instagram.

FBI waliweza kugundua kuwa email yake na namba yake ina uhusiano na matukio mengi ya wizi wa mtandao. Pia walipochunguz email yake waligundua kuna attachments za wire transfers katika kiwango kikubwa cha dollar.

Kwenye picha moja aliyopost ikionyesa akiwa kwenye tafrija ya birthday yake, kwenye ukuta kulikuwa na logo ya FENDI, maafisa wa FBI waliweza kutambua tarehe yake ya kuzaliwa kupitia maombi yake ya VISA aliyoyafanya karibuni akiomba kuingia Marekani.

FBI walikuwa na ushaidi wa kutosha. Tarehe 2 mwezi wa 7 mwaka huu, FBI waliamua kumkamata. Kwa kusirikiana na askari wa UAE, walienda nyumbani kwake huko Dubai na kumkamata Hushpuppi. Baada ya kukamatwa alisafirishwa mpaka Marekani na kwasasa anasikiliwa kwenye Metropolitan Correction Center huko Chicago.

Baada ya kukamatwa kwake, malizake na kaunti zake zote zilishikiliwa, uku walimkuta na kiasi ca dollar million 41 kikiwa kwenye mabegi (sawa na Zaidi ya billion 100 za kibongo) Mashitaka yake yatapelekwa Los Angeles na akikumbana na hatia anweza kufungwa miaka 20 gerezani.

Mwanasheria wake anadai kwamba siyo kweli kwamba mteja wake ni mwizi, bali yale aliyokuwa anapest alikuwa anapewa na wamiliki wa maduka au wauzaji wa maari kama influencer apie nayo picha ili kuvutia watu wanunue na alikuwa akilipwa kwa kufanya hivyo.

Lakini kwa ushaidi wa FBI kuna uwezekano mdogo wa HushPuppi kuchomoka.

Hao ndiyo Yahoo Boys wazee wa kupiga pesa za mtandaoni…… Ila Mastar wengi wa Nigeria hasa mabinti wanamuunga mkono wanatamani aachiwe akiwemo Tonto Dinkeh…………………..


hash 2.jpg
 
Alikuwa Ana akili ya kupiga
Sema kilichomponza ni ushamba
Ndomana yuko nyuma ya nondo sahv

Ova
 
Yani mamilioni yote halafu unavaa marangirangi kama Elephant Man?

No wonder wanakamatwa.

Kuiba kunaweza kuwa si kugumu kama kuficha hela ya wizi.

Kuna kinyegenyege fulani hivi cha kujionesha unazo.

Kupost picha social media.

Na hapo ndipo wanapodakwa.

Ma Mafia wa kweli hata ukiwaona huwezi kujua, na wamepiga hela ndefu sana.
Wahindi ndio wanajua ku maintain low profile! Kuna baadhi ya wahindi walikuwa wanapiga deal kwenye stocks Europe . Walikuwa wanafaidika na inside information. Mpaka walipo kamatwa bahati mbaya, neighbours wao walipo hojiwa walishangaa na kusema wamekamatwa kimakosa, walisema wanawajua kwa miaka mingi na hawawezi kuwa walikuwa wajiusisha na deal kubwa hivyo!

Weusi tuna penda show off. Mtu unafanya kazi airport unapata deal la kupitisha madawa ya kulevya. Baada ya week chache unatinga kazini na rolex baada ya muda unaenda Range Rover. Kwa nini usichunguzwe!!
 
na hapa ndio wazungu huwa wanazima fegi.

nigga hajagundua computer, ila akiisoma itamfahamu vilivyo
nigga hajaunda engene, ila ni fundi garage asiyetumia tech.
nigga mazingira ya shule ni duni, lakini ndio huyu.
nigga ana dhiki kali ila anatoboa mashida bila mawazo.

big up to all niggas out around.
 
Back
Top Bottom