Nduki ha ha ha ha ha haHahahaaa! Usijali aisee ndio naitafutia nyama nyama za kuijazia ili ikija ieleweke.
[emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125]
Ngoja Raven aje[emoji1] [emoji1] [emoji1] katokea jf mkuu
Hujambo?Mmh! mzeewakungoa wewe jina gani hiloo
Sijambo. Mzima wewe?Hujambo?
Jirani pole kwa banCc Daby
Bebe sipo huko nilishakimbia au sikukuambia!
Mimi namshukuru munguSijambo. Mzima wewe?
Hahaha.... kawaida mzeeHuyo Daby unamtajataja .....shauri yako!
Raven haha... I see youNgoja Raven aje
Raven sielewi kabisaaa[emoji23] [emoji23] [emoji23]Raven haha... I see you
Hili jimbo lilikuwa wazi alishaniachaga. Ila nimeingia humu nakutana na ban za crue yangu. What's ap??Raven sielewi kabisaaa[emoji23] [emoji23] [emoji23]
Mbona hizi taarifa hukunipa[emoji23] [emoji23] [emoji23] nilitaka kupigana ujue[emoji134] [emoji134]Hili jimbo lilikuwa wazi alishaniachaga. Ila nimeingia humu nakutana na ban za crue yangu. What's ap??
Haha.... basi mamdogo anakesi ya kujibu maana yeye ndiye alipaswa akufahamishe.Mbona hizi taarifa hukunipa[emoji23] [emoji23] [emoji23] nilitaka kupigana ujue[emoji134] [emoji134]
Yaaaani kuna mengi sana huku yameendelea babe..Inna jirani yangu huyo ila naona kachezea ban lol.
Miss you too. JF ukipotea 4 days ni kama mwaka haha
Kwqni ninashaka ya kuyakosa sasa nilivyo na bebe kashilawadu usiku najua utanisimulia na nitakuwa kama nilikwepo wakati yanatokea [emoji16][emoji16]Yaaaani kuna mengi sana huku yameendelea babe..
Mamdogo ndo kawa Dalali yani sijui kazi ya udalali kaanza lini?[emoji23]Haha.... basi mamdogo anakesi ya kujibu maana yeye ndiye alipaswa akufahamishe.
Hivi Raven kumbe upo radhi kupigana ninapoumizwa eeh. I love you