Husna Muba and Shedede (new couple)

Husna Muba and Shedede (new couple)

Haha.... basi mamdogo anakesi ya kujibu maana yeye ndiye alipaswa akufahamishe.

Hivi Raven kumbe upo radhi kupigana ninapoumizwa eeh. I love you
Mamdogo ndo kawa Dalali yani sijui kazi ya udalali kaanza lini?[emoji23]
Yani niko radhi kupigana sitaki kukuona ukiwa na huzuni hata kidogo atiii.
Love you too Raven[emoji6] [emoji6]
 
Back
Top Bottom