Raven Kwani huyo ndo....Kwqni ninashaka ya kuyakosa sasa nilivyo na bebe kashilawadu usiku najua utanisimulia na nitakuwa kama nilikwepo wakati yanatokea [emoji16][emoji16]
ShikamooooYaaaani kuna mengi sana huku yameendelea babe..
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]. Nampa babe feedback jamani.Shikamoooo
Ha haaa sawa mpatie tu.Tatizo utumiaji wa baadhi ya jina ndo unanishangaza[emoji23] [emoji23] [emoji23][emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]. Nampa babe feedback jamani.
Aaaah usijali kabisa bby... utapata kila kitu kama ulikuwepo vile.Kwqni ninashaka ya kuyakosa sasa nilivyo na bebe kashilawadu usiku najua utanisimulia na nitakuwa kama nilikwepo wakati yanatokea [emoji16][emoji16]
Haha eeeh... hahaRaven Kwani huyo ndo....
Jina gani tena hilo?? Nifumbue akili shostiHa haaa sawa mpatie tu.Tatizo utumiaji wa baadhi ya jina ndo unanishangaza[emoji23] [emoji23] [emoji23]
Mwambie namwita maana najua atakuwa JLW kwasasa hahaMamdogo ndo kawa Dalali yani sijui kazi ya udalali kaanza lini?[emoji23]
Yani niko radhi kupigana sitaki kukuona ukiwa na huzuni hata kidogo atiii.
Love you too Raven[emoji6] [emoji6]
Ma mdogoeee....Haha eeeh... haha
Thank you... najihisi tume be blessed.Aaaah usijali kabisa bby... utapata kila kitu kama ulikuwepo vile.
Ngoja nipate kaanza feedback kutoka kwa RavenJina gani tena hilo?? Nifumbue akili shosti
AbsolutelyMa mdogoeee....
Mmh... ebu funguka bwanaNgoja nipate kaanza feedback kutoka kwa Raven
Ha haaaa ngoja nikuitie....Atakuwa na mkataba na JLW maana si kwa kulowea kuleeee[emoji23] [emoji23] [emoji23]Mwambie namwita maana najua atakuwa JLW kwasasa haha
Usijali nitakulindia [emoji4] [emoji4]Absolutely
Unamlindia nani tena??Usijali nitakulindia [emoji4] [emoji4]
Yaani mamdogo sijui anashare za jukwaa lile! Ila hata wewe maana ndiyo mnapeanaga sapotiHa haaaa ngoja nikuitie....Atakuwa na mkataba na JLW maana si kwa kulowea kuleeee[emoji23] [emoji23] [emoji23]
Wewe[emoji15] [emoji15] [emoji15] au maana kwa huo muonekano wakware watakuwa hawakauki[emoji23] [emoji23] [emoji23]Unamlindia nani tena??