Husna Muba and Shedede (new couple)

....hili jukwaa si stress free?
.kumetokea nini tena,mbona watu wamekula umeme hivi;
....ama makapuku wameamua tu kuwa na avatar ya aina 1
 
Nice couple[emoji4] [emoji4] [emoji4] mi cjui nitapata ln?!
 
....hili jukwaa si stress free?
.kumetokea nini tena,mbona watu wamekula umeme hivi;
....ama makapuku wameamua tu kuwa na avatar ya aina 1
Nimeufatilia huu Uzi ila bado sijagundua kosa lao
 
Dah...Dogo...sasa inabidi upige kazi na mazoezi kwelikweli.....na ule ushibe hasa....maana usijerudi unalialia hapaπŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€
 
Nice couple[emoji4] [emoji4] [emoji4] mi cjui nitapata ln?!
Dah...Usijali baada ya anko Magu kuziba mianya ya upigaji...na huu uhakiki wa vyeti...... imekuwa simpo sana kupata demπŸ™‚πŸ™‚
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…