Shadrack K. Lwila
JF-Expert Member
- Jul 17, 2016
- 4,925
- 14,287
- Thread starter
-
- #361
Shukran mkuuHongereni...muweke akiba ya hayo matamu ili machungu yatakapokuja muoffset na akiba ya matamu..always muwe positive....
[emoji23] [emoji23]Na wewe fungua ID nyingine alafu ujitongoze!!!
Kwanini inakua ngumu kufurahi na wanao furahi jamani!?
[emoji23] [emoji23] [emoji23] hapana kitu ka hiyoukimchoka nipasie mkuu mana me napenda mitumba
Ababu huna mkuuKwenye huu Uzi mpaka sasa tumepoteza watu wawili, paprika na husna muba. Tumikieni kifungo kwa amani wanaume mliojigeuza wanawake
Kwenye huu Uzi mpaka sasa tumepoteza watu wawili, paprika na husna muba. Tumikieni kifungo kwa amani wanaume mliojigeuza wanawake
Hmm.... Hmm..... Hmm... Kila mtu na wake ha ha ha ha... Heri Mimi sijasema.si upo na paprika ww
Nakupenda Valentina
Duh!!!....Afadhali nimepata shemeji jamani,kwa sababu dada yangu mie siyo kwa kusota kule!.....i can't believe with my eyes!![emoji1][emoji1][emoji1]
Wewe umepatia sana mkuu, Valentina ni mzurikapige kambi mmu na connect utawapaata
Wewe ulipigwa ban lini?Mbona sasa na mm kanipiga ban anaanimind vip tena
Sema mzee wa kuchonganishaWewe umepatia sana mkuu, Valentina ni mzuri
Jana sikunzima nilikua kifungoniWewe ulipigwa ban lini?
Pole nami pia nipe poleJana sikunzima nilikua kifungoni
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Jirani pole kwa ban
[emoji23] [emoji23] [emoji23]Pole nami pia nipe pole
Husna ujue wewe penda penda ee.[emoji23] [emoji23] [emoji23]
Hongera zaoHmm.... Hmm..... Hmm... Kila mtu na wake ha ha ha ha... Heri Mimi sijasema.
Hapa ni kigoma mwisho Wa reliHusna ujue wewe penda penda ee.
Ila sasa hivi najua ushafika kwenyewe.
Usitoke huko
Pole drPole nami pia nipe pole
Unacheka nn wakt nawe ulikua kifungon[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]