mzeewakungoa
JF-Expert Member
- Nov 26, 2016
- 4,969
- 13,919
Na mimi nipelekee pole......lakini hayo maradhi na kurudi kwa Lee.... Hmm.. Is it a coincidence?Shunie anaumwa ila nitampa Salam zako
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Na mimi nipelekee pole......lakini hayo maradhi na kurudi kwa Lee.... Hmm.. Is it a coincidence?Shunie anaumwa ila nitampa Salam zako
Usijali mwaya. Mpe poleShunie anaumwa ila nitampa Salam zako
nina changamoto gani jamani?....... Dada angu mpendwa nasikia wewe na Shunie ni wataalam wa kupiga pande, fanyeni mambo please la sivyo mtamkosa kaka yenu hivi hivi![emoji31][emoji31][emoji31]Kaka
We ni changamoto
Umeanza lini kuwa mvujishaji mzeewakungoa ?Lee Karudi Shunie lazima awe bidhaa adimu
HahahaNa mimi nipelekee pole......lakini hayo maradhi na kurudi kwa Lee.... Hmm.. Is it a coincidence?
Ataitika mamyUsijali mwaya. Mpe pole
Umemuonaee. Ana habari hatari.Hahaha
Wewe ni mchochezi
Ataitika
Mie hapana kaka, sijui hizo mambo jamani...nina changamoto gani jamani?....... Dada angu mpendwa nasikia wewe na Shunie ni wataalam wa kupiga pande, fanyeni mambo please la sivyo mtamkosa kaka yenu hivi hivi![emoji31][emoji31][emoji31]
Jamani nimefanya uchochezi gani hapo?Hahaha
Wewe ni mchochezi
Ataitika
Shilawadu huyoooUmemuonaee. Ana habari hatari.
We huoniJamani nimefanya uchochezi gani hapo?
Mie hapana kaka, sijui hizo mambo jamani...
Hivi na ujanja wako wooote wewe ni... .
Kakangu[emoji115][emoji23] [emoji23] [emoji23]........... Twafadhali nitake radhi!
Bora umwambie emmyUmemuonaee. Ana habari hatari.
Sakayo wacha kunipakazia banaShilawadu huyooo
Humjui tuu
Nshamwambia tayari imebaki wewe tu kusema umezipata wapi.[emoji2] [emoji2] [emoji2]Bora umwambie emmy
HeheheSakayo wacha kunipakazia bana
Jamani ukimtaja Shunie si ndo ummtaja Lee.... Hata avatar sasa hv ni identical.... Nina kosa gani hapo? Emmy nitetee bana.We huoni
Lee amekujaje hapooo
Kwani huyu anafikaga ule Mtaa makapukuni nini?We huoni
Lee amekujaje hapooo
Endelea kujitetea tuuJamani ukimtaja Shunie si ndo ummtaja Lee.... Hata avatar sasa hv ni identical.... Nina kosa gani hapo? Emmy nitetee bana.