Husna Muba and Shedede (new couple)

Husna Muba and Shedede (new couple)

Hongereni. Ila ndio msubiri changamoto mana wapo wasiosikia mahusiano ya watu humu lazima wataanzisha thread zisizoeleweka lengo kuwaharibia.

Kama mnapendana kweli na kwa kuwa bado mmo humu jf mjifunze kufumba macho kila kitakachoandikwa juu yenu mkipotezee hapo ndio mtafika mnapopataka.
 
Hiyo picha hapo kwenye avatar yako inatia mashaka juu ya tabia zako na mbaya zaidi inaendana kabisa na ID yako means that tabia zako nimezijua within a second, Husna piga chini hili jamaa aisee, kuwa na mwanaume mbea ndo nini![emoji30] [emoji30] [emoji30]
 
Back
Top Bottom