Husna Muba
JF-Expert Member
- Jan 28, 2017
- 14,524
- 44,577
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] nisalimie ivugaCc Daby
Asante mkuuHongereni sana
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Haahaahhaaaa...
[emoji4] hata mi namshangaakhee wewe unamuita huyo wanini??[emoji34][emoji34][emoji34]
Daby amepumzika na mpenzi wake casie wacheni kumsumbua
Wewe wasemaShunie mzee wa mapande Kumbe eeh?
[emoji4] [emoji4] [emoji4]aisee mpaka picha mmebadilishana kwel mapenz Mubashara hayo...
Asante mkuupongez kwenu kila la kheri...!!
Amin ubarikiwe na wwAmina mkuu,Mungu awabariki
Sio mm huyo, sijawahi kutumia Facebook mi Niko twiter ....Nimemtoa kwa facebook. Ndio huyu?
View attachment 509773
Kina nani?!Mbona wenzako wanamega " Kisela "
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] we mgomvi weeNatania tu " Mzee baba " naina hapo ulivyokuwa mdogo kama hela za rambirambi za Arusha.
Ujirani mwema eti[emoji23]Kafanyaje? ni jirani yangu huyo hana madhara yoyote
[emoji4] [emoji4] inna bwana ...!Me hata sichochei nmemwita tu aje aone mdogo ake anachukuliwa huku
Unajua vile navyokupenda nilee vizuri usinifanye nilie mm ni wako kwako nimefika mpenzi[emoji23] [emoji23] [emoji23] mke anauma ..ohooo
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji106][emoji106] [emoji106] [emoji106] kabisa
[emoji12] Bila shaka amezipata[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] nisalimie ivuga
Asante mkuuAsee hongereni.
Kumbe kweliiii duuuAsante mkuu