Mmh. Sio kwa kupotea huko. Kulikoni?[emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2]
Dhaaa!! Naptwa na mengi mazur
Nkikosa kuperuz jf aisee
wakikosa kufuata huuHongereni. Ila ndio msubiri changamoto mana wapo wasiosikia mahusiano ya watu humu lazima wataanzisha thread zisizoeleweka lengo kuwaharibia.
Kama mnapendana kweli na kwa kuwa bado mmo humu jf mjifunze kufumba macho kila kitakachoandikwa juu yenu mkipotezee hapo ndio mtafika mnapopataka.
Sijambo aisee. Mvua zimeisha na wewe umerudi.wakikosa kufuata huu
Ushaur
tungojee kuitwa kuandaa
Msiba usio na matanga
Jambo jambo lakin
Mkuu[emoji137]
Tumebaki mimi na wewe tuuUmefanya la maana... Kika mtu angefanya hivi JF ingeaminika kwenye ishu ya kutafuta wenza.
Kama una wapinzani wajitokeze kabisaa
Kufanya nini?Tumebaki mimi na wewe tuu
Labda alitekwa na mafurikooMmh. Sio kwa kupotea huko. Kulikoni?
Hahaaa! Cha kushukuru amerudi salamaLabda alitekwa na mafurikoo
Nina kupenda sana wewe,Kufanya nini?
[emoji23] [emoji23]Kufanya nini?
[emoji28] [emoji28] [emoji28] [emoji28] [emoji28][emoji23] [emoji23]
Mmmmh! This is so romantic!!!Nina kupenda sana wewe,
Nitafurahi nikiwa na wewe,
Point zako zinanipa kiwewe,
Basi baby naomba unielewe...in hassan voice
Unajua umenichanganya!!! Kumbe ushachukua avatar ya shemdarling!!!! [emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji23] [emoji23]
[emoji7] [emoji7] [emoji7] [emoji7]Mmmmh! This is so romantic!!!
Ila kama hiyo avatar ni wewe basi ni mdogo sana kwangu... Mie nataka alie 30-50[emoji7] [emoji7] [emoji7] [emoji7]
Mzima mama?Hahaaa! Cha kushukuru amerudi salama
Mzima my. Nimekumiss tu. za huko?Mzima mama?