Husna Muba and Shedede (new couple)

Husna Muba and Shedede (new couple)

Hongereni. Ila ndio msubiri changamoto mana wapo wasiosikia mahusiano ya watu humu lazima wataanzisha thread zisizoeleweka lengo kuwaharibia.

Kama mnapendana kweli na kwa kuwa bado mmo humu jf mjifunze kufumba macho kila kitakachoandikwa juu yenu mkipotezee hapo ndio mtafika mnapopataka.
wakikosa kufuata huu
Ushaur

tungojee kuitwa kuandaa
Msiba usio na matanga

Jambo jambo lakin
Mkuu[emoji137]
 
Back
Top Bottom