Husna Muba
JF-Expert Member
- Jan 28, 2017
- 14,524
- 44,577
Ohooooo....Aisee kumbe Shunie ni "agent" siku hizi hahahahaha
mungu akijaaliaNdoa lin?
Wee mdomo huoooHa haaaaa basi atakuwa ana mdalalia na bamdogo[emoji23] [emoji23]
hahahahahahahaahahahOhooooo....
asante kwa ushauri shukraniHongereni. Ila ndio msubiri changamoto mana wapo wasiosikia mahusiano ya watu humu lazima wataanzisha thread zisizoeleweka lengo kuwaharibia.
Kama mnapendana kweli na kwa kuwa bado mmo humu jf mjifunze kufumba macho kila kitakachoandikwa juu yenu mkipotezee hapo ndio mtafika mnapopataka.
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Poety ikizidi inaboa!!!
Hii misifa sasa...
Mimi je moyo haupo?Akuu! Moyo wangu upo kwa mwengine humu!!!
Yani namsubiri swahiba maana si vizuri ulivyomfanyia.Wee mdomo huooo
pole mkuuHiyo picha hapo kwenye avatar yako inatia mashaka juu ya tabia zako na mbaya zaidi inaendana kabisa na ID yako means that tabia zako nimezijua within a second, Husna piga chini hili jamaa aisee, kuwa na mwanaume mbea ndo nini![emoji30] [emoji30] [emoji30]
Ahaa..ni nani vile?!Akuu! Moyo wangu upo kwa mwengine humu!!!
Asante mkuuHongereni
Hahahaaa!Yani namsubiri swahiba maana si vizuri ulivyomfanyia.
[emoji35] [emoji35] [emoji35] [emoji35]Kwa hiyo unapita ambapo Daby alipita?? [emoji23][emoji23] Hongera mkuu[emoji113][emoji113][emoji113]
Simsemi kwanza!!! Namfutilia kwa mwaka mzima..Ahaa..ni nani vile?!
[emoji101]
Asa unalia nn?![emoji24]
[emoji4] [emoji4] [emoji4] [emoji4] mashaalah huyu ndo mke boraUnajua vile navyokupenda nilee vizuri usinifanye nilie mm ni wako kwako nimefika mpenzi
OK hamna cha ajabu apoSijaulizwa ila nimejiuliza. [emoji23] [emoji23]
Huu mkono wa kike?[emoji4] [emoji4] [emoji4] [emoji4] mashaalah huyu ndo mke bora