Husna Muba and Shedede (new couple)

Husna Muba and Shedede (new couple)

Hongereni. Ila ndio msubiri changamoto mana wapo wasiosikia mahusiano ya watu humu lazima wataanzisha thread zisizoeleweka lengo kuwaharibia.

Kama mnapendana kweli na kwa kuwa bado mmo humu jf mjifunze kufumba macho kila kitakachoandikwa juu yenu mkipotezee hapo ndio mtafika mnapopataka.
asante kwa ushauri shukrani
 
Unajua vile navyokupenda nilee vizuri usinifanye nilie mm ni wako kwako nimefika mpenzi
384755ca372636f8b4b08fc8f448d743.jpg
[emoji4] [emoji4] [emoji4] [emoji4] mashaalah huyu ndo mke bora
 
Back
Top Bottom