Husna posh:mamaa dothnata-namba 1 kwa utajiri.

Husna posh:mamaa dothnata-namba 1 kwa utajiri.

Mungu hamtupi mja wake ombeni mtapewa tafteni mtapata akili kumkichwa!
 
mkija sikia mengine msishangae-
haya mambo ya kusema flani anapata hela kwa sababu ya biashara yake n.k mimi nakataa-kuna kazi nyingine anayofanya nyuma ya pazia-kama ni swala la catering ni wamama wangapi wapo vyema na hio kazi na wameshidwa kuwa na mafanikio kama hayo?
ninachotakla kusema ni kwamba hata kama ana mafanikio-si kutokana na mambo ya upishi/acting-kwa mtazamo wangu nazani kuna shughuli nyingine nyuma ya pazia anayofanya ndio maana inamuungizia pesa nyingi
 
ana shughuli nyingine haramu

sana anayofanya na watu wengi wanaijua

kuna siku mnaomtetea mtapata aibu na huwezi

kusema anapata tenda za mapishi zaidi ya hamsini

kwa jumamosi moja hilo nakataa,uongo mwingine

mnatakiwa kujipanga
 
Inawezekana ikawa kweli kwani kwanza yeye binafsi ana biashara zake ambazo humpatia mahitaji yake kwa hiyo kuwa tajiri yeye si jambo la kushangaza kwake
 
mkija sikia mengine msishangae-
haya mambo ya kusema flani anapata hela kwa sababu ya biashara yake n.k mimi nakataa-kuna kazi nyingine anayofanya nyuma ya pazia-kama ni swala la catering ni wamama wangapi wapo vyema na hio kazi na wameshidwa kuwa na mafanikio kama hayo?
ninachotakla kusema ni kwamba hata kama ana mafanikio-si kutokana na mambo ya upishi/acting-kwa mtazamo wangu nazani kuna shughuli nyingine nyuma ya pazia anayofanya ndio maana inamuungizia pesa nyingi

Umenikumbusha kipindi ufugaji kuku wa kisasa ulipoanza watu wengi walifuga lakini ukiniambia waliotajirika na ufugaji huo sidhani kama walizidi hata 20.
 
IMG_3512.JPG
the woman is not fine jamani...
 
Mbona kazi yake ya ukoboaji haujaitaja?
Huyu mama ni mkoboaji mzuri sana, mabinti wenye tamaa ya hela mbona wanakoma mwaka huu.
 
Mbona kazi yake ya ukoboaji haujaitaja?
Huyu mama ni mkoboaji mzuri sana, mabinti wenye tamaa ya hela mbona wanakoma mwaka huu.
mmh,inawezekana hii,kuna kibinti flani(dorica) miaka ya nyuma kizurii km mdori nilikua nakifundisha michezo ya kikubwa kilikua kinakaa kwa huyu mjasiriliamari eti mamayake wa hiari
 
Get rich or die tryin!big up mamaa dotnata!bongo bana!star akiwa na mawe tabu akiwa tengeru tabu!
 
Una hakika utajiri wake wote ni wa fedha halali? Catering services hizo ni dsm tu au anayo chain?

Just thinking aloud maana sioni kama film industry au catering services za nchi hii inayoitwa tz vinaweza kumfanya mtu akawa billionaire kwa kipindi cha miaka mitano mpaka kumi na tano

hayo uliyosema ni kweli namfahamu kwa kipindi fulani alikuwa mke wa shabani makumlo, wakavurugana sana, na ndo kipindi alichopata kujengewa nyumba na shabani na kupata magari hayo.Pia kimsingi catering ni utajiri?acha bana kusia mambo ya kitoto ambayo si muda si endelevu wala hayana uwekezaji wa kusaidia nchi ; kujishebedua isije kuwa utajiri
 
Back
Top Bottom