johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 97,869
- 171,716
Labda mgao wa ubunge haukumfikia vizuri angekuwa bungeniHusna mmoja anawazidi wale Covid wote 19
Ni mvumilvu mpambanaji halafu ni jasiri sana
Bungeni angewasumbua sana,anajua kujenga Hoja sanaLabda mgao wa ubunge haukumfikia vizuri angekuwa bungeni
Anamzidi hadi kamanda Mdee? Kweli mambo yanabadilika fastaHusna mmoja anawazidi wale Covid wote 19
Ni mvumilvu mpambanaji halafu ni jasiri sana
Kuna kitu tu hapo syo burejohnthebaptist haya mapenzi yako kwa Chadema yalianza lini?
Picha yenyewe johny anaibanawekeni picha ili tukomenti, majina ya Husna huwa nayapenda
Mbona wewe umepokea mgao na hauko bungeni umerudi kiwandani kwako!Labda mgao wa ubunge haukumfikia vizuri angekuwa bungeni
1992!johnthebaptist haya mapenzi yako kwa Chadema yalianza lini?
Hahahaaaa...... Bwashee usiogope!The Devils Advocte!
Kada anapokishauri chama pinzani lazima uzisome nyayo zatokea wapi!