johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 97,869
- 171,716
- Thread starter
-
- #21
Siasa siyo uadui bwashee.Unaonaje ukijikita kwenye mambo yenu ya huko Lumumba !
Kama kugawa fulana na kofia nyumba kwa nyumba na kupigia upatu kauli yenu ya maendeleo hayana vyama!
Chadema haihitaji ushauri wa waimba mapambio na matarumbeta ya MATAGA...
Nenda Chato kalinde kaburi huko ! Acha kelele zakoSiasa siyo uadui bwashee.
Msema kweli ni mpenzi wa Mungu!
Hahahaaaa..... Mchungaji Msigwa nasikia yuko Chato!Nenda Chato kalinde kaburi huko ! Acha kelele zako
Who cares?Hahahaaaa..... Mchungaji Msigwa nasikia yuko Chato!
Bavicha!Who cares?
🤣🤣🤣johnthebaptist haya mapenzi yako kwa Chadema yalianza lini?
Mkuu naona siku izi umekua na mapenzi na chadema ,wenda mungu anataka kukufungua toka kwenye minyororoHuyu mama ana msimamo usioyumba tokea enzi za hayati Magufuli hajawahi kujipendekeza.
Tukumbuke kuwa hata mgombea ubunge wa Chadema kule Chato alipata kura nzuri tu.
Na hata Tundu Lisu wakati wa kampeni Chato na Nkasi ndio maeneo aliyopata mapokezi makubwa sana.
Bawacha fikirieni kumpa huyu mama uongozi wa juu kabisa.
Kazi Iendelee!
Hahahaaaa.......!