Aisee.Teh teh teh jf kazi kweli kweli ila mwandiko tu ndio unatofautisha watu si avatar na username.
Ndio maana ukitulia vizurj unaweza kukuta jf ina member wawili 2.
Mie ndio nimeingia leo mjin emmyta njoo na maelezo kamil dearJamaan aliyeelewa aniambie jaman sakayo, ukhuty, emmyta na muosha rungu
Ebu nielewesheMmmh haya mapya cc rubi kimini
Huwa Wanakera mnoo.. Ona sasa hapa hawapo[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] wenye magari na majumba wenzao
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Nitakutana nao tu kwenye uzi wowote ule
Kwani mbiti ni Ke au MeJamaan aliyeelewa aniambie jaman sakayo, ukhuty, emmyta na muosha rungu
[emoji23][emoji23][emoji23]Teh teh teh jf kazi kweli kweli ila mwandiko tu ndio unatofautisha watu si avatar na username.
Ndio maana ukitulia vizurj unaweza kukuta jf ina member wawili 2.
Upo apa apa chit chat tumechambwa leo na mtoto wa kizaramo interview na richaabraUko wapi niende hukooo
Najua basi ngoj nikuitie mtu emmytaEbu nieleweshe
Wadodose tuu, sie twafaidi na bando letu la chuoTangazo:
Saa mbili kamili richaabra ataendelea Na interview
DJ sepetu
Naogopa ndugu yangu mana nisije sutwa ila kama nimeelewa kwa 80%Mie ndio nimeingia leo mjin emmyta njoo na maelezo kamil dear
Sawa [emoji1][emoji1][emoji1]Tangazo:
Saa mbili kamili richaabra ataendelea Na interview
DJ sepetu
Na wewe kwa kufukua tuuJioneeni jamani kabadili mpk lafudh
[emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15]changamoto pekee ni kukutana na wanaume wapumbavu wengi kwa siku kuliko wanaojielewa....actually mm headmistress, so huwa naogopwa flani hivi amazing
utasubiri wewe usie na mahari.
nikimuangalia machoni kwa dakika 3 na asipepese macho...huyo ndo mume.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Na wewe kwa kufukua tuu
Hahaha[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Dada jf sitoki wala sibadili id
Kivipiiiii yaanKama nimeelewa hivi dada. [emoji85] [emoji85] [emoji85]
[emoji1][emoji1][emoji1][emoji1]2020 zamu yetuKwa kweli tuchange tu sio kwa vishindo hivyo vya boss lady
Umefutwa auuuuUpo apa apa chit chat tumechambwa leo na mtoto wa kizaramo interview na richaabra