HusnaThebosslady live on muosha rungu TV show!

HusnaThebosslady live on muosha rungu TV show!

Status
Not open for further replies.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] hivi dada wewe au mm unaweza fanya zile mambo ujue hawa nao hawajiongezi na watu anaowafanyia interview kama leo tumechambwa kwenye uzi mmoja wa interview najua umekukosa
Uko wapi niende hukooo
 
Ni kwamba Mrembo sorry bwana husnaThebosslady Jana usiku alikuwa akiwatukana joseverest Na mm
Alisema jose ndie smart911 yule Wa mahondaw Na akasema yupo tayari kumpa papuchi jose kama atataka werevaa
Pia akadai muosha rungu ndiye shunie!
Basi huo Uzi ukaendelea hadi saa moja hivi asubuhi
Mara paap ikajulikana erick otieno ndiye husna Na zote ni id zake

Mods wameunganisha ids zake Na kuwa erick otieno pia kapigwa ban
Ndiyo maana unaona humu posts za husna zinasoma erick etieno!

DJ sepetu
Daaaahhhh.

Tangu may ndio kajulikana leo
Aiseee.

Mods msimfungulie huyo jamaa, bora aje tena na ubosslady mwingine tumnange tena.
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom