HusnaThebosslady live on muosha rungu TV show!

HusnaThebosslady live on muosha rungu TV show!

Status
Not open for further replies.
shule nimemaliza 2011 pale S.A. nikarudi home mzee akanipa kuwa dministrator wa shirika lake.
Jamani
aloo we vp??!!! husna sina mume, japo natamani,.
Makubwa haya
nilikuwa naandaa imprest za wafanyakazi wanaopaswa kupokea chao by 15th
Kazi ipo
boss lady mekapu huwa siwezi kwakeli mwe!!!
Ndo nimechoka kabis
mie sina kampuni...nimeajiriwa na baba yangu
Mmmh
msomi. full stop. in fact ni RedDevil
.
kifupi, siwezi ishi bila mwanume, naweza tu kukaa bila mwanaume.
Hapa ndo nimechoka kabisa
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] ndugu bado una hilo wazo sasa nahisi kuhusu kuchanga itakuwa mwaka 2020 [emoji1][emoji1][emoji1]
Shoga hujachoka kushika bomba la mwendo kasi jitahidi bwana tununue hat kagar na sie
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom