Shunie
JF-Expert Member
- Aug 14, 2016
- 154,929
- 459,607
Kigogo round about [emoji1][emoji1][emoji1]Tena kigogo siyo masaki tena
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kigogo round about [emoji1][emoji1][emoji1]Tena kigogo siyo masaki tena
Shooga. Kumbe bosslady ni dume. [emoji23] [emoji23]Jamanii nini kimetokea humu?
Mashostito nijibuni!
Cc. Shunie, emmmyta, muosha rungu, Quigley , Ushimen, Sergio 5
Sent using Jamii Forums mobile app
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] hawa ndio wote mwisho wa siku aibu yaoUlienda pm kwake mkuu
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Hahaha
Anaugulia hukooo
Umemsahau mwalimu mkuu eeehh.... Ile siku tulikuwa wote sijuiiiJamanii nini kimetokea humu?
Mashostito nijibuni!
Cc. Shunie, emmmyta, muosha rungu, Quigley , Ushimen, Sergio 5
Sent using Jamii Forums mobile app
Wanalia huko pembeniHalafu mbona siwaoni humuuuu
Huyo alikuwa na kazi maalumuIla alijipanga mana kuna data alikuwa anazitoa utadhani za kweli kumbe magumashi. Lol
Ngoja niendelee kuuza mchicha wangu uje uniungishe bas nipate hiyo hela ya kushea garDada nawaza tu apa maraaa paaaap yule mtu inajulikana mwanaume ujue ushimen tutamkuta icu [emoji1][emoji1]
Unajiuliza Mungu nimemkosea nini mimii ujue hizi interview ziendelee tu [emoji1][emoji1]Utasema haendi chooni
DahKigogo round about [emoji1][emoji1][emoji1]
Zile million za ndotoni nahisi alijua akiuza kitanda ndo zitakujaHapana dada atakua anataka kulala chini ujue
Hawezi aisee. Ila kwa kuwa kufungua new id ni kitendo cha muda mfupi atakuja na id mpya.Umeona eee, mwishowe kaumbuka kwa aibu..sidhani kama atakanyaga huku tena
Sent From My iDevice using Jamii Forums Auto-reply Mobile App
[emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Uliyemquote pindi unanitaja mimi ndio kasema huyu Erick Otieno ni miongoni mwa modsMi simo kwenye habari za mods hapa tunamsemea bosslady mwifwa.
Hapo sasa,kumbe kaishiwa pocket money anauza kitanda[emoji23] [emoji23]Bora angekuwa seremala!!
DJ sepetu
Hawaji humu cc ushimenHalafu mbona siwaoni humuuuu
[emoji23][emoji23][emoji23]Mara paaap Ukhuty ndio mimi(jokes)
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Aiseee. [emoji23] [emoji23] [emoji23]Dada nawaza tu apa maraaa paaaap yule mtu inajulikana mwanaume ujue ushimen tutamkuta icu [emoji1][emoji1]
Anaweza kanyaga kwa i'd nyingine tusimjueUmeona eee, mwishowe kaumbuka kwa aibu..sidhani kama atakanyaga huku tena
Sent From My iDevice using Jamii Forums Auto-reply Mobile App
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji419] [emoji419] [emoji419] [emoji419] [emoji419] [emoji419] [emoji419] [emoji419] [emoji419] [emoji419]Ebu niambie mods wanajuaje mara paaaap ukhuty ndio shunie [emoji1][emoji1]