witnessj
JF-Expert Member
- Mar 22, 2015
- 28,704
- 47,260
Ndio shost nakumbuka!Umemsahau mwalimu mkuu eeehh.... Ile siku tulikuwa wote sijuiii
Nani kamuumbua?
Sent using Jamii Forums mobile app
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ndio shost nakumbuka!Umemsahau mwalimu mkuu eeehh.... Ile siku tulikuwa wote sijuiii
Hahaha[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] hawa ndio wote mwisho wa siku aibu yao
[emoji6][emoji6][emoji6]Naona muosh rungu umemua kuhoj akina dada tu khaaa ila vzr snaa maana wanausemi wao ladies first
Hapana mkuu, niponae huku pm namuhoji kwamba.... kwanini amekubali kufanyiwa usahili kabla ya kuniuliza..?
Naona umeanza kuhoji hadi new members, angalia siku usijihoji mwenyewe mkuu
[emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1] kitanda cha funding jumaZile million za ndotoni nahisi alijua akiuza kitanda ndo zitakuja
Watakuwa wanajua zaidi ya tunavyojijua,ukizingua tu wanakulipua.Inaonekana wanajua wanachofanya nilionaga ata zile za hr zote ziliunganishwa kwa jina moja la hr
Nipo dear. Nipo na huzuni huku mwingine hata sitaki kujua kinachojiriMaserati dark angel siwahoni aiseee [emoji1][emoji1][emoji1]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] upo busy kuwaitaHawaji humu cc ushimen
Cc mgagaa na upwa
Waache kutudharau maskini.... Leo ndo tunawapa pole sasaaaWanalia huko pembeni
Acha tu jamaan hizi mambo ni sheedaAiseee. [emoji23] [emoji23] [emoji23]
[emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji419] [emoji419] [emoji419] [emoji419] [emoji419] [emoji419] [emoji419] [emoji419] [emoji419] [emoji419]
Kweli kabisaKabisaaa maana uongo wao unatujenga
Wanasoma huku machozi yamejaa machoniiiHawaji humu cc ushimen
Cc mgagaa na upwa
KabisaaaWaache kutudharau maskini.... Leo ndo tunawapa pole sasaaa
Hivi kumbe Mgagaa na Upwa naye alikuwemo.Hawaji humu cc ushimen
Cc mgagaa na upwa
Ndio nani tena huyo sipendi habari nusu nusu mie
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Naweza porwa atii, hawa wanaume sio salama tena
Jamanishule nimemaliza 2011 pale S.A. nikarudi home mzee akanipa kuwa dministrator wa shirika lake.
Makubwa hayaaloo we vp??!!! husna sina mume, japo natamani,.
Kazi iponilikuwa naandaa imprest za wafanyakazi wanaopaswa kupokea chao by 15th
Ndo nimechoka kabisboss lady mekapu huwa siwezi kwakeli mwe!!!
Mmmhmie sina kampuni...nimeajiriwa na baba yangu
.msomi. full stop. in fact ni RedDevil
Hapa ndo nimechoka kabisakifupi, siwezi ishi bila mwanume, naweza tu kukaa bila mwanaume.
Shoga hujachoka kushika bomba la mwendo kasi jitahidi bwana tununue hat kagar na sie[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] ndugu bado una hilo wazo sasa nahisi kuhusu kuchanga itakuwa mwaka 2020 [emoji1][emoji1][emoji1]
Wafanyiwe tuu jamanii... Sipati picha hukooo pm....Mpaka wengine kwenda pm kuongea mabiashara ujue hizi interview waendelee tu kufanyiwa
Nikutupie nini tena mama ndio tupo hapa kwenye ule uzi wake wa interview jina tumekuta sio husna ni erick otieno