Jamani [emoji32][emoji32][emoji32]nishasalitiwa na nikajua kupitia mashosti wangu wa karibu na kupitia paid app ya playstore
n yule anayetumia old school techniques za kumshawishi mwanake k.v. kumuonyesha u jentlomani ulipitiliza
Yaan kama vinakuja na kutoka kivipiii kajulikana mume na kuwa na I'd mbiliMakubwa.... Sielewiii ujue
LohNi kwamba Mrembo sorry bwana husnaThebosslady Jana usiku alikuwa akiwatukana joseverest Na mm
Alisema jose ndie smart911 yule Wa mahondaw Na akasema yupo tayari kumpa papuchi jose kama atataka werevaa
Pia akadai muosha rungu ndiye shunie!
Basi huo Uzi ukaendelea hadi saa moja hivi asubuhi
Mara paap ikajulikana erick otieno ndiye husna Na zote ni id zake
Mods wameunganisha ids zake Na kuwa erick otieno pia kapigwa ban
Ndiyo maana unaona humu posts za husna zinasoma erick etieno!
DJ sepetu
We bwabwa acha usengerema....the boss lady is back...people.
Jamaan ebu mwambie Young blood aseme ilikuwajeMie ndio nimeingia leo mjin emmyta njoo na maelezo kamil dear
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Huwa Wanakera mnoo.. Ona sasa hapa hawapo
Sielewiii mieeeYaan kama vinakuja na kutoka kivipiii kajulikana mume na kuwa na I'd mbili
Mmmmmmmmmhkm nilivyosema tangu mwanzo, mm sina kampuni au biashara, mm nimeajiri na mzee wangu; kusimamia miradi yake na huwa naripoti kwake kama bosi wangu...ispokuwa kwny family meetings
Naonaga anasema ke kwani ndio unayemzungumzia
Cc itara umepita huku lknafadhali hebu muulize mkuu ikibidi niombee kibarua kwake hapo nadhani nitafanya kazi zake vizuri sana ...
kama hamna kabisa mwambie hata zile za ulinzi nipo njema kusimama getini..
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Wadodose tuu, sie twafaidi na bando letu la chuo
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] acha uogaNaogopa ndugu yangu mana nisije sutwa ila kama nimeelewa kwa 80%
Dada tuyaache ila Youngblood kama anaonyesha muelekeo vileKivipiiiii yaan
Sisi tumchambe au yeye ndio anatuchambaMsimchambe
DJ sepetu
Hahahahaha weeee acha uku kwetu tunasema ...[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Hao hawakosekani hata siku moja na huko waliko wanatetemeka sio mchezo.
Kakuuliza sehemu itakuwa imekupita.Jamaan ebu mwambie Young blood aseme ilikuwaje
aseeh
Hapana kahojiwa leo na saa mbili unaendelea host ameshasemaUmefutwa auuuu
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] uwiiiSisi tumchambe au yeye ndio anatuchamba