HusnaThebosslady live on muosha rungu TV show!

HusnaThebosslady live on muosha rungu TV show!

Status
Not open for further replies.
ni kosa lao kwa kutozungusha cv...mbona ndani miezi 4 iliyopita mie nimepokea cv karibu 6 na kuzirecommend??? HAWAPELEKI MAOMBI YA KAZI halafu wanabaki kulilia hawana ajira
Hujui ulisemalo au aliyeshiba hamjui mwenye njaa. Wasomi ni wengi kuliko nafasi za kazi. Pili ni vigumu vijana wote kuajiriwa, wengine tulianza kujiajiri na sasa tuna ajiri, rejea swali ujibu upya, interview ni heshima itendee haki
 
Hujui ulisemalo au aliyeshiba hamjui mwenye njaa. Wasomi ni wengi kuliko nafasi za kazi. Pili ni vigumu vijana wote kiajiriwa, wengine tumlianza kujiajiri na sasa tuna ajiri, rejea swali ujibu upya, interview ni heshima itendee haki
sawa mkuu nisamehe, nimeteleza.
 
Mabibi Na mabwana habari yenu
Leo tuna furaha ya kumuhost Mrembo Wa jf Bible HusnaThebosslady!

Lengo la show hii ni kujifunza kuelimika Na burudani
Tunaomba ushirikiano Na nidhamu
Katika show yetu ya Leo
Maswali Na majibu sio lazima yampendeze kila mtu, hivyo tuheshimu mawazo ya kila mmoja!
Here we go!

DJ sepetu
Jamaa wewe unahoji wanawake tu? Huleti wanaume wenzetu nao tukajifunza kutoka kwao?
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom