Jamani mbiti kanitumia Picha ni mwanamke tena Wa nguvu!nimekutumia wewe ndo uwaeleze ! mie siwez jiweka humu iweje ! nataka nn kwani ! sawa endeleen kuamini me men poa tu ! sina ninachoppoteza ati
Noma sana Eric the bossyladyMara paaaap naitwa Erick[emoji23] [emoji23]
Mkuu tuheshimiane aweke picha ili iweje, si nawewe uweke yako au ya huyo mpenz wako money talkLabda uweke Picha ili wakukome
DJ sepetu
Kimewaka ngoja nione ngumi za watu wazimaMkuu tuheshimiane aweke picha ili iweje, si nawewe uweke yako au ya huyo mpenz wako money talk
Sent using Jamii Forums mobile app
Umemutumia picha ya nini? Kwahayo maelezo uliyo toa hapo juu yanatosha sana asiye amini kuwa we ni ke apite mbele achana nao dear hao wanakupotezea mda wako, usiwe unatuma picha zako ovyo ovyo kisa mabishano yasiyokuwa na kichwa wala miguu, yanini kubishana na watu kisa jinsia yako, kwan unakula kwao?nimekutumia wewe ndo uwaeleze ! mie siwez jiweka humu iweje ! nataka nn kwani ! sawa endeleen kuamini me men poa tu ! sina ninachoppoteza ati
Ameshanitumia mkuu hujaona post yake hapo juu!Mkuu tuheshimiane aweke picha ili iweje, si nawewe uweke yako au ya huyo mpenz wako money talk
Sent using Jamii Forums mobile app
Nimeona lakin sijapenda hicho kitu unajua kuna watu wengine sio wazur kitabia, huwez jua leo au kesho mtu anaweza sambaza picha zako ili akukomesheAmeshanitumia mkuu hujaona post yake hapo juu!
Wewe huna pic yk!?
DJ sepetu
Umemutumia picha ya nini? Kwahayo maelezo uliyo toa hapo juu yanatosha sana asiye amini kuwa we ni ke apite mbele achana nao dear hao wanakupotezea mda wako, usiwe unatuma picha zako ovyo ovyo kisa mabishano yasiyokuwa na kichwa wala miguu, yanini kubishana na watu kisa jinsia yako, kwan unakula kwao?
Sent using Jamii Forums mobile app
Nimeona lakin sijapenda hicho kitu unajua kuna watu wengine sio wazur kitabia, huwez jua leo au kesho mtu anaweza sambaza picha zako ili akukomeshe
Sent using Jamii Forums mobile app
Ameshanitumia mkuu hujaona post yake hapo juu!
Wewe huna pic yk!?
DJ sepetu
Poa lakin usiwe unatumia picha watu ovyo ovyo mke wangu, asiye amin kama wewe ni ke apite mbelehahahahaha nae anajiashua haamini nahuku tunachatig pm ! nimempa moja mume wangu ! ninaghafirika na maupuuz ya namna hiii !
Poa lakin usiwe unatumia picha watu ovyo ovyo mke wangu, asiye amin kama wewe ni ke apite mbele
Sent using Jamii Forums mobile app
[emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] hapana Mzee baba!!!Samahani kama nimekukwaza.... Jamaa limeniudhi sana bhana...
Khaaa!!
Ngoja nicheke kwanzaKwe mkuu maana nanyupu anadai mzigo wake huo anakula vipi sasa
DJ sepetu
nakuja pm kuiona au sioJamani mbiti kanitumia Picha ni mwanamke tena Wa nguvu!
So ieleweke hivyo sasa mkitaka athibitishe kwa njia nyingine ni nyie tu!
DJ sepetu
Mungu wa Ibrahim, Mungu wa Isaka, Mungu wa Yakobo...
Bora niendelee kugonga nyagi zangu tu... hii dunia inaelekea ukingoni sasa....