HusnaThebosslady live on muosha rungu TV show!

HusnaThebosslady live on muosha rungu TV show!

Status
Not open for further replies.
Napende keza hawa watu wasiojulikana walio mteka na kumuumiza Roma mkatoliki

Ben Saanane
Walio mtolea bastola Nape Nnauye Na leo Wamemshambulia Mhe.Tundulisu Wakijuli kana

Wakabidhiwe kuhifadhiwa na watu wenge Hasira kali[emoji769]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
nimekutumia wewe ndo uwaeleze ! mie siwez jiweka humu iweje ! nataka nn kwani ! sawa endeleen kuamini me men poa tu ! sina ninachoppoteza ati
Umemutumia picha ya nini? Kwahayo maelezo uliyo toa hapo juu yanatosha sana asiye amini kuwa we ni ke apite mbele achana nao dear hao wanakupotezea mda wako, usiwe unatuma picha zako ovyo ovyo kisa mabishano yasiyokuwa na kichwa wala miguu, yanini kubishana na watu kisa jinsia yako, kwan unakula kwao?

hahahahaha nae anajiashua haamini nahuku tunachatig pm ! nimempa moja mume wangu ! ninaghafirika na maupuuz ya namna hiii !
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom