Linamo
JF-Expert Member
- Jan 12, 2011
- 9,976
- 24,496
Hahaaaaa hiyo siku nitazimia
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hahaaaaa hiyo siku nitazimia
Umeonaeeee. Yatakuwa maajabu kwa kweli.Linamo unajua nitaenda kupinga mahakani kabisa, kwa dada yangu hapo haiwezi kutokea kabisa
Nitaijua sheria kwa muda mfupi hadi utashangaa ujueTulia uonee[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Aiseee. Ikifikia hivyo hakutakuwa na jinsi mdogo wangu itabidi ugeuke mwanasheria tu kwa kweli.Nitaijua sheria kwa muda mfupi hadi utashangaa ujue
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Mwambiee dada yangu, maana......[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Swahiba ujue nitaanzishiwa uzi mwenzio. Mwifwa anamjua dada yake vyema ujue.
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Hahaaaaa hiyo siku nitazimia
Kama kinyonga vile, nyumbani ni mkulima, mjini ni mwanasheriaAiseee. Ikifikia hivyo hakutakuwa na jinsi mdogo wangu itabidi ugeuke mwanasheria tu kwa kweli.
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] Ujue Mwifwa umepinda.Mwambiee dada yangu, maana......
Mara paaaap ikajulikana emmyta ndio mimi
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125]
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Kama kinyonga vile, nyumbani ni mkulima, mjini ni mwanasheria
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Nilichoka hapo hata Mimi..haaaa haaaHahahaha jf imekua kama fb!
Mtu una 'networth' ya 5 bil ila benki pia una 5 bil??? Na bado unaendesha Noah?! Really dude?
Haukuwa peke yako, rejea post nambari 69 kwenye uzi wa ukaribisho wakeNilisemaga mimi huyu tangu anathread ya kukaribishwa humu sio mwanamke ni dume.. haya sasa kaumbuka
Na hizo picha ni za binti wa kenyaHaukuwa peke yako, rejea post nambari 69 kwenye uzi wa ukaribisho wake
DuuuhhhNa hizo picha ni za binti wa kenya
[emoji1] [emoji1] [emoji1] alikua anataka awaenjoy wanaume wakware tuDuuuhhh
Labda ndio mpenzi wake huyo, nilishangaa sana mtu kujiamini kiasi hicho eti yupo Dar asiwepo hata mmoja anayemjua!?
[emoji106] [emoji106] [emoji106] [emoji106] [emoji120] [emoji120] [emoji120] [emoji120]Kuna kitu nimejifunza kwa Eric Otieno
1). Humu wanawake hatuzidi watatu
2) . Most of people here na choka mbaya, japo pia kuna wasomi ila ndo chapa ilale, hakuna kitu ptuuuuu!
3). Wanaume wengi wa Jf wamelizwa visenti vyao na machoko/ mabwabwa wakidhani ni wadada..
Mwisho wanaume mna siri nzito vifuani mwenu na mnakutana na mambo mazito mnoo ( siwezi kuyasema hadharani)
Kwaherini.
Sent using Jamii Forums mobile app