Watu kweli watatusakama vya kutoshaHapana asieeee kuna watu wataandamana hapa[emoji23] [emoji23]
NishaendaSi kule kwa shemela cuzoo
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Umeona eenh unapambana na hali yako ya nini kuishi fake hizo mambo ndio zimenishinda aisee kutaka maisha kama ya husna boss lady kumbe wote tunakutana kwenye mwendo kasi ukija jf unajifanya nipo kwenye foleni nadrive [emoji1][emoji1] kumbe upo kwenye mwendokasi umeshikilia bomba
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Mtoto wa dady[emoji38]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Kampuni ya dady[emoji23]
[emoji593][emoji593][emoji593][emoji593]2020 hiyooTutaanza na hizo hizo shouger wanavyoviita vibabywalker
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] halaf dada ushimen ana bahati mbaya kumbuka ile ya kungwi tatizo anapenda sana kuwahi pm