HusnaThebosslady live on muosha rungu TV show!

Status
Not open for further replies.
ni kosa lao kwa kutozungusha cv...mbona ndani miezi 4 iliyopita mie nimepokea cv karibu 6 na kuzirecommend??? HAWAPELEKI MAOMBI YA KAZI halafu wanabaki kulilia hawana ajira
Hujui ulisemalo au aliyeshiba hamjui mwenye njaa. Wasomi ni wengi kuliko nafasi za kazi. Pili ni vigumu vijana wote kuajiriwa, wengine tulianza kujiajiri na sasa tuna ajiri, rejea swali ujibu upya, interview ni heshima itendee haki
 
Hujui ulisemalo au aliyeshiba hamjui mwenye njaa. Wasomi ni wengi kuliko nafasi za kazi. Pili ni vigumu vijana wote kiajiriwa, wengine tumlianza kujiajiri na sasa tuna ajiri, rejea swali ujibu upya, interview ni heshima itendee haki
sawa mkuu nisamehe, nimeteleza.
 
Jamaa wewe unahoji wanawake tu? Huleti wanaume wenzetu nao tukajifunza kutoka kwao?
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…