Acha ujinga mkuu,Unamshauri nn kijana mwenye laki moja asiye Na ajira
DJ sepetu
Huyu ndio mzuri. Dege janja iko naswa na tundu bovu.Duh!majibu na mbwembwe za huyu interviewee ni hatari
Kama hizi mbwembwe zinamatch na uhalisia wa real life yake basi walio around na yeye kazi wanayo asee
[HASHTAG]#nohardfeelings[/HASHTAG]
Kiulainiiiii.....[emoji12] [emoji12]Uzee kweli dawa,naona ushaopoa totoz hapa
WemaShujaa wako ni nani
Kwanini
DJ sepetu
shule nimemaliza 2011 pale S.A. nikarudi home mzee akanipa kuwa dministrator wa shirika lake.
Unaanza uzwazwa wako wa awali, mbona unawaza ngono tu mkuuUkikutwa live unazini utafanya nn
DJ sepetu
Sehemu IPI ya ajabu ulisha Fanya ngono
DJ sepetu
najishusha...i play like im one of them, yaan wanione wa kawaida, na ninawachangamkia as if i personally know themUnafanya nn kuunganisha teamwork kazin kwako ukiwa kiongoz Wa juu
DJ sepetu
Ngoja aje QUIGLEY anaweza kuwa Na mawazo mazuriAcha ujinga mkuu,
Husna hajui real life la bongo, ni mtoto wa kishua, hajui soko la kariakoo, congo str, buguruni wala sokoine, unapomuuliza mtaji wa kijasiriamali unategemea ajibu nini?
Uliza mambo ya akina wema na ndege wote wafananao na akina wema
[emoji39] nsfuatilia intavyuu...laivu....yani mubashara kabisaMna mambo nyie
DJ sepetu
Sijamzuia ujue[emoji23]Ngoja aje QUIGLEY anaweza kuwa Na mawazo mazuri
DJ sepetu
Acha ujinga mkuu,
Husna hajui real life la bongo, ni mtoto wa kishua, hajui soko la kariakoo, congo str, buguruni wala sokoine, unapomuuliza mtaji wa kijasiriamali unategemea ajibu nini?
Uliza mambo ya akina wema na ndege wote wafananao na akina wema
changamoto niliyoiona hainiathiri, inawaathiri ambao wamesoma nje lkn hawana ready-made positions....ushauri wangu ukisoma nje kazi iwe inakusubiria hapa home, kama huna huo mkakati utajilaumu sanaElimu yako uliyoipata nje imekuletea changamoto ipi hapa nyumbani!?
Unadhani imekufanya bora kuliko ungesoma hapa
DJ sepetu
Sipati pichaHead mistress
baba yangu ni mstaafu wa ngazi ya juu serikalini, mama yangu ni mama wa nyumbani....nawaona ni mfano wa kuigwa kwenye ndoa tu...in real life na hussle aki siwaigiBaba Na mama yako yupi ni mfano bora kwako
Kwann
DJ sepetu