Glenn
JF-Expert Member
- May 23, 2015
- 69,329
- 164,730
Acha ujinga mkuu,Unamshauri nn kijana mwenye laki moja asiye Na ajira
DJ sepetu
Husna hajui real life la bongo, ni mtoto wa kishua, hajui soko la kariakoo, congo str, buguruni wala sokoine, unapomuuliza mtaji wa kijasiriamali unategemea ajibu nini?
Uliza mambo ya akina wema na ndege wote wafananao na akina wema