HusnaThebosslady live on muosha rungu TV show!

Status
Not open for further replies.
Acha ujinga mkuu,
Husna hajui real life la bongo, ni mtoto wa kishua, hajui soko la kariakoo, congo str, buguruni wala sokoine, unapomuuliza mtaji wa kijasiriamali unategemea ajibu nini?
Uliza mambo ya akina wema na ndege wote wafananao na akina wema
hahahah lol...we mkuu pokea kiss from the boss...mwaaaah
 
Madakika yote hayo mnaangaliana tu,
Kwamba mnachunguzana kitu gani muda wote huo.
Unataka kugundua kwamba mwanaume nae kapaka wanja km wewe au.
hapana...lengo ni kuona uimara wale wa kusustain
 
elewa kuwa hii interview iko x2, kuna mnaoniuliza hapa lkn kuna jam kule pm pia...so muda flani nazidiwa...yaan naweza kuchefuliwa pm hasira zikaishia kwajko ww hapa jukwaan
Watu kwa fursa, wamewasili pm tayari!!!!
Hudumia huku kwanza pm baadae mwaya
 
faida ni kwamba hutajua shida n nn, hasara ni kwamba binafsi km mm napata wakati mgumu kujichanganya na waswahili kama nyinyi

Hapa Jf makapuku hatuhesabiki, tuko zaidi ya 3/4 ya Jf nzima, hadi tumeanzisha forum ya makapuku.

SWALI :
umewezaje kwenda na sie parallel ? Hatukupi headache kweli mrembo. ( In Githeri man voice)
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…